Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
How do u know ni native speaker, bcoz she white? Dumbness levelsSoma vizuri mkuu nimesema "Linatumiwa kwa nadra sana na native speakers."
pimbi hata wangewacha tu badala ya kuandika ujinga...watu wazima wanaandika kiingereza cha mtoto wa nursery
A translator was improvisedsasa kama sijui kiingereza thesis niliandikaje na kuna hadi mwaka nilikuwa co chair wa mawaziri wa barabara kule Canada sasa niliongozaje huo mkutano wa wazungu tupu
trust me or not English huwa nazungumza vizuri nikiwa nje ya nchi kama wewe unavyozungumza vizuri ukiwa umelewaA translator was improvised
Hehehehe mbavu zangu...
Yaani hata kiswahili kinakushinda? Kwani comprehension mulifunzwa nini shuleni? PoliCCM walitumia twitter account ya Quintal na kuandika ujumbe kwa lugha mbovu. Familia ya mwandishi huyo ikajua kuwa ujumbe huo ni wauongo na wakatahadharisha watu. Baada ya uchunguzi kufanywa, Twitter walifunga account ya mwanamke huyo kwa kuwa walijua iko chini ya PoliCCM na si mwanahabari huyo. Baada ya hapo, ilifamamika kuwa kulikuwa na failed attempts za kuingia kwa email yake. Ni nini hujaelewa?
Ukiwa ndani ya nchi huwezi zungumza vizuri. Watanzia wengi wanajua kifaransatrust me or not English huwa nazungumza vizuri nikiwa nje ya nchi kama wewe unavyozungumza vizuri ukiwa umelewa
tatizo nikiongea English nikiwa bongo wabongo badala ya kusikliliza ninavyomwaga matuition wao wanaconcentrate kutafuta grammatical errorsUkiwa ndani ya nchi huwezi zungumza vizuri. Watanzia wengi wanajua kifaransa
Kumbe wewe ni mwalimutatizo nikiongea English nikiwa bongo wabongo badala ya kusikliliza ninavyomwaga matuition wao wanaconcentrate kutafuta grammatical errors
No kwa sasa mi ni dreva wa lorryKumbe wewe ni mwalimu
Kazi nzuri sana hiyo. Mwalimu akisubiri mshahara mwisho wa mwezi wewe unapata hela zako kila sikuNo kwa sasa mi ni dreva wa lorry
Hadhi ya tz kimataifa inazidi kushuka kila uchao! The country is decending into a pariah state...Ya nini kuwakamata hao wanahabari in the first place? Waache waandike story zao and disregard the content, huku nchini Kenyatta husema gazeti ni ya kufungia nyama, yaani ww soma habari humo kama ni za kweli sawa kama ni pumba tupa kulee....
Ohh na mjifunze kiengereza jameni mnaibika nyieee..