Majirani Karibu Wajipate Kwa Khashoggi Moment: Pumba Waandika Tweet Kwenye Account Ya Mwanahabari Kwa Kiingereza Kibovu

Majirani Karibu Wajipate Kwa Khashoggi Moment: Pumba Waandika Tweet Kwenye Account Ya Mwanahabari Kwa Kiingereza Kibovu

pimbi hata wangewacha tu badala ya kuandika ujinga...watu wazima wanaandika kiingereza cha mtoto wa nursery

Teh teh teh tihiii
so dat is all you have to say.
kiingereza kiingereza kiingereza
 
sasa kama sijui kiingereza thesis niliandikaje na kuna hadi mwaka nilikuwa co chair wa mawaziri wa barabara kule Canada sasa niliongozaje huo mkutano wa wazungu tupu
 
Yaani hata kiswahili kinakushinda? Kwani comprehension mulifunzwa nini shuleni? PoliCCM walitumia twitter account ya Quintal na kuandika ujumbe kwa lugha mbovu. Familia ya mwandishi huyo ikajua kuwa ujumbe huo ni wauongo na wakatahadharisha watu. Baada ya uchunguzi kufanywa, Twitter walifunga account ya mwanamke huyo kwa kuwa walijua iko chini ya PoliCCM na si mwanahabari huyo. Baada ya hapo, ilifamamika kuwa kulikuwa na failed attempts za kuingia kwa email yake. Ni nini hujaelewa?

Thibitisha kwamba ni polisi wa tz waliandika hiyo tweet.

Unajua saa zingine mnajikutaka mnajua wakati ni hakuna kitu kichwani.huyo dada yenu na shoga yake,walijua hapa kwa mjomba wao wanaweza kuja na kufanya wanachojisikia tu eti!!!??

Ukitaka kuja tz kufanya maisha njoo,achana na viherehere vingine utagongwa.
 
Hao waandishi ni wapumbavu kabisa.mnaingia kwa kibali cha kufanya utalii halafu mnaanza vikao na waandishi was habari huo upuuzi wakaufanyie Kenya huko Tanzania hapana.
 
Mkenya humuona mzungu kama Mungu aisee bado tuna safari ndefu
 
Hadhi ya tz kimataifa inazidi kushuka kila uchao! The country is decending into a pariah state...Ya nini kuwakamata hao wanahabari in the first place? Waache waandike story zao and disregard the content, huku nchini Kenyatta husema gazeti ni ya kufungia nyama, yaani ww soma habari humo kama ni za kweli sawa kama ni pumba tupa kulee....
Ohh na mjifunze kiengereza jameni mnaibika nyieee..

Tz tz shut up [emoji850]
Nenda marekan kwa lengo la utalii halafu ukafenye mambo mengine tofauti na ulichoombea kuingia nacho kwao. Au china au uingerza n. k cha moto utakiona. Waacheni watimize sheria zao.
Naipa bog up Tz
 
Back
Top Bottom