Majirani( Ke ) wanawasiwasi na SGR ya Tanzania kuliko hata wakandarasi waliopewa tender

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
17,972
Reaction score
20,221
Nimekua nikisoma maoni ya wakenya wengi juu ya huu ujenzi wa SGR phase ya kwanza na ya pili ya Tanzania wakionyesha kuwa na wasiwasi sana...

Nashindwa kuwaelewa huo wasiwasi wanaupata unasababishwa na nini au kwasababu wamezoea kuona vitu kama hivi vikifanywa na mataifa makubwa zaidi yetu.

Najua ya kwamba wasiwasi ndio akili lakini tumeamua kwa dhati kufanya na sio kuwaza tungefanya. Well kuhusu suala me umeme ndugu zetu umeme tunaozalisha kwa sasa wala hata hatuutumii wote...

Mahitaji ya nchi kwa sasa ni Megawatts 1300 na tunazalisha zaidi ya 1500MW...

Umeme unaendelea kufuliwa na kile mwaka tunaongeza kwenye grid ya taifa na poa msisahau kabla ya mradi huu mkubwa kuanza tathimini zote zilishafanywa na kuona unawezekana kufanyika laa sivyo hizo pesa ni bora tungefanyia mambo mengine...
Nawasilisha. ..
 
mkuu itakuwa wana wasiwasi kuwa treni tutapaki kama ndege kule chato.
au
au wanajua tutawapiga teke la nyuma kwenye maendeleo Kwa pesa tutakazopata
 
Ni wivu unawasumbua! Halafu mbaya zaidi reli itafika mpaka Uganda pia. Ukiachia kupitia Lake Victoria.

Mr Nditiye said the process was underway for the SGR project that links Makutupora in Dodoma Region and Tabora Region to start.

He said the feasibility study for the project has already been completed and the project will be launched soon. He further said that, plans are also afoot for the project to extend to Geita- Msanga to Uganda and this will connect Geita and Kagera regions to SGR services.

‘SGR Third Phase preps at advanced stage’
 
Ni wivu unawasumbua! Halafu mbaya zaidi reli itafika mpaka Uganda pia. Ukiachia kupitia Lake Victoria.
Kwakwel jamaa wanashangaza...uzuri TRC reli t.v. hutoa update kila mwezi ujenzi umefikia wapi...kama hivi tayar watakua wameshaweka video ya maendeleo ya ujenzi kwa mwezi wa tano...
 
Ukileta hoja tatanishi ambatanisha na chanzo kabisa, tuletee magazeti na nakala za Kikenya zinazoashiria kuwa tuna 'wasiwasi' na hiyo SGR yenu ambayo wengi hata hatuna habari nayo, hatujui hata kama ujenzi unaendelea au upo wapi. Nimewaambia mara nyingi kwamba asilimia 99% ya Wakenya wanapoijadili Tanzania huongea kuhusu
- Nyimbo za Bongo
- Nyimbo za injili za akna Muhando
- Ushirikina na ulaji wa albino
- Umaskini kwa ajili ya omba omba wenu waliojaa kwenye barabara zetu
- Uzembe kazini
- Magufuli - kwa ajili ya zile shtukiza huwa anazifanya akitumia media
- Kiswahili - hufahamika kwamba kwenu hamna lugha nyingine mnayoijua nje ya Kiswahili

Zaidi ya hapo ni vigumu sana umuskie Mkenya akitaja chochote kuhusu Tanzania, wengi hata hawana habari kabisa kama kuna SGR mnajenga, nakuhakikishia asilimia 95% ya Wakenya hawana habari ya hiyo reli yenu.
Wale labda tunajua machache kuwahusu ni sisi ambao tunakuja hapa JF, na pia baadhi yetu ambao tumewahi kuwekeza kwenu.
 
Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line
 
Usiwe kilaza alafu tunakuheshimu ujue...
Umebakiza kujua kuandika kisw pekee kuzidi wakenya wenzio lakini unatapatapa...wengi sana hufaham
Ata wakati mwendokasi unajengwa mliwahi kuhara kua Hamna time nao baada ya uzinduzi mkaanza patwa na mawenge
 
Usiwe kilaza alafu tunakuheshimu ujue...
Umebakiza kujua kuandika kisw pekee kuzidi wakenya wenzio lakini unatapatapa...wengi sana hufaham
Ata wakati mwendokasi unajengwa mliwahi kuhara kua Hamna time nao baada ya uzinduzi mkaanza patwa na mawenge

Wacha povu, ukianzisha mada kubali changamoto za kuhojiwa, sio unaleta mada na kulazimisha kila mtu awe na mtazamo wako. La sivyo ungepiga kimya ukipitia pitia mada za wengine.

Nimekuambia hali halisi ya Wakenya huwa hawana habari kabisa na mambo ya Tanzania zaidi ya hayo niliyoyaandika hapo juu, na hili la reli ndio kabisa hamna anayeshughulika, labda wana habari maana wao hufatilia taarifa za ukanda wote kama majukumu ya kikazi, lakini hata wakiandika, utakuta ni Wakenya wachache watatumia muda wote kusoma hayo makala.

Ikiwa hata SGR yetu kuna Wakenya hawafuatilii kabisa, iweje ya kwenu iwaumize kichwa.
 
Chanzo chake ilikua ni kutokana na mazungumzo ambayo hufanyika hapa JF... mahali ambapo wakenya chini ya ishirini ndo wanashiriki (active members) alafu ameconclude kwamba sisi ndo 'wakenya wote'
 
pengine nikukosoe kidogo mkuu....majority ya wakenya hata hawamjui makamu wa rais wa bongo wala hawana interest ya kumjua..pengine unazungumzia sisi wakenya tuliomo JF ila sidhani kama tumefika 50..njoo tu siku moja Nairobi I promise you mwaka utapita kabla ya kuskia chochote kuihusu tz...hivyo nashangaa sana kusikia wakenya wana wasiwasi kisa reli ya tz...Pili, Kenya tayari ina reli inayofanya kazi (mwaka moja umepita) na ujenzi kuelekea Uganda unaendelea ..hivyo sielewi hii wasiwasi mnaozungumzia inatoka wapi...ingekuwa ni waganda wa humu JF wana wasiwasi ningeelewa sababu hawana reli yao ila mbona Kenya tayari ina reli (and a successful one at that)
 
PLANS to implement the Third Phase of the Standard Gauge Railway (SGR) line that stretches from Makutupora to Tabora are at an advanced stage, as the feasibility study is now complete, paving the way for construction to start soon - the National Assembly was told yesterday.

Deputy Minister for Works, Transport and Communication, Mr Atashasta Nditiye revealed this when responding to a supplementary question by Geita Urban legislator, Constantine Kanyasu (CCM), who demanded to know when the government will sign the contract for the third phase of the SGR projects, linking Dodoma with Mwanza region.

The MP also wanted to know when the government will connect Kagera and Geita regions with SGR. Mr Nditiye said the process was underway for the SGR project that links Makutupora in Dodoma Region and Tabora Region to start.
 
I agree before o joined this forum i used to knw nothing about tanzania except for the above[emoji23] [emoji23] ,tho noawadays atleast i tour tz
 
I agree before o joined this forum i used to knw nothing about tanzania except for the above[emoji23] [emoji23] ,tho noawadays atleast i tour tz
me too.. I have learned everything I know about tz in this forum...kabla ya hapo ilikuwa kama tu usiku wa kiza..I used to know Rose Muhando na Ali kiba maana ni maarufu tangu zamani ila zaidi ya hapo hakuna chochote..nikaja nikaskia kuhusu mauaji ya albino na daktari wa Loliondo..finally, I used to here about how tanzanians are lazy..mara nyingi inanibidi nipige search Google ili niweze kujadili mambo humu......yaani MK254 amesema ukweli mtupu tu...
 
Actually most of the tanzanians i knw have studied in kenyan high schools and universities from upperhill,cuea, KU and even UON they all seem to paint a different picture than the so called jf tz members here,we kenyans critic explicitly,if something is fvcked up we all agree,you can even notice most jubilee supporters asking hard questions about corruption that has been in the limelight lately unlike tanzanians, yaani ati 1.5 trillion dissapears and no questions asked waah
 
they still live in an ancient society where the president has the final say...and its true, they come to study here as their education system is very poor...there is no surprise that Tanzanians in border towns take their children to kenyan schools but still live in Tanzania
 

Sasa kama NCHI ina ignorants wa kutosha watajuaje MAMBO yanayotokea NCHI zingine? Sisi huku zaidi ya 80% wanasikilinza international main stream kama BBC radio Swahili, DW radio, VOA radio etc so we know what are trending globally.
 
I agree before o joined this forum i used to knw nothing about tanzania except for the above[emoji23] [emoji23] ,tho noawadays atleast i tour tz

I used to be the most ignorant person on Tz stuffs before going there, though had some hardworking neighbors from Chagga community, but there was not much about them that crossed my mind then. One thing that struck me as soon I landed in Tz was their 'kindness' to visitors.

They appeared so kind, laid-back, respectful and peaceful, but I was disillusioned so fast within the first few weeks, their real skin color came out and I could see through their hypocrisy, man you have no idea, I have seen and experienced every damn thing down there.
 
Sasa walipokupatia kindness ukaleta ukenya wako. what do you expect?
Tanzania wanaakili sana kijana. Unapokaribishwa jiheshimu, siyo kuanza kultea dharau za kijinga utaishiwa kuumizwa kijana. Ukijiheshimu utaheshimika daima TZ.
 
Msipatwe na hasira...kufaham ya nchi nyingine inategemea na vitu vingi. ..hv ni wafanyabiashara wangap ambao hufuata mali Tz na kuzipeleka ke Au wakenya wangap wameoa au kuolewa uku Tz. ..it's possible kabisa nnachokisema..
Average tanzanians knows nothing abt Kenya maybe they kno ur capital is nbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…