mijadala kuhusu sgr ya tanzania sio tu kwa wakenya wachache wa jf bali pia hata kwa wakenya wengi wa twitter.Chanzo chake ilikua ni kutokana na mazungumzo ambayo hufanyika hapa JF... mahali ambapo wakenya chini ya ishirini ndo wanashiriki (active members) alafu ameconclude kwamba sisi ndo 'wakenya wote'
mijadala kuhusu sgr ya tanzania sio tu kwa wakenya wachache wa jf bali pia hata kwa wakenya wengi wa twitter.
wakenya mmekuwa mnaitajataja sana sgr ya tanzania katika mazungumzo yenyu kule twitter kutuzidi hata sisi watanzania ambao ndio wahusika wa hii project.
sijui hofu yenyu ni nini?.
hii ni sehemu ndogo ya uthibitisho.
View attachment 793063View attachment 793064View attachment 793065View attachment 793066View attachment 793067View attachment 793068
4 screenshot against over 1m twitter users,searching for a needle in a haystackmijadala kuhusu sgr ya tanzania sio tu kwa wakenya wachache wa jf bali pia hata kwa wakenya wengi wa twitter.
wakenya mmekuwa mnaitajataja sana sgr ya tanzania katika mazungumzo yenyu kule twitter kutuzidi hata sisi watanzania ambao ndio wahusika wa hii project.
sijui hofu yenyu ni nini?.
hii ni sehemu ndogo ya uthibitisho.
View attachment 793063View attachment 793064View attachment 793065View attachment 793066View attachment 793067View attachment 793068
hiyo ni sample tu.4 screenshot against over 1m twitter users,searching for a needle in a haystack
Sasa walipokupatia kindness ukaleta ukenya wako. what do you expect?
Tanzania wanaakili sana kijana. Unapokaribishwa jiheshimu, siyo kuanza kultea dharau za kijinga utaishiwa kuumizwa kijana. Ukijiheshimu utaheshimika daima TZ.
Kijana umaskini wako huo wa Kenya usituletee bongo. Hapa TZ hakuna kijana ambaye hana ardhi. Mpaka watoto wadogo wanamilki ardhi. Umaskini mkubwa ni ule wa kukosa ardhi.Kaka nimejionea mkifanyiana vituko hata wenywe kwa wenyewe, huo ukarimu ni zuga na kiini macho cha kuficha unafiki wa kufa mtu ulio ndani ya wengi wenu.
Na ndio maana mpo maskini hata baada ya kubarikiwa na kila raslimali.
they still live in an ancient society where the president has the final say...and its true, they come to study here as their education system is very poor...there is no surprise that Tanzanians in border towns take their children to kenyan schools but still live in Tanzania
Watz wengi hawapatikani twitter...mijadala kuhusu sgr ya tanzania sio tu kwa wakenya wachache wa jf bali pia hata kwa wakenya wengi wa twitter.
wakenya mmekuwa mnaitajataja sana sgr ya tanzania katika mazungumzo yenyu kule twitter kutuzidi hata sisi watanzania ambao ndio wahusika wa hii project.
sijui hofu yenyu ni nini?.
hii ni sehemu ndogo ya uthibitisho.
View attachment 793063View attachment 793064View attachment 793065View attachment 793066View attachment 793067View attachment 793068
Kijana anza kwanza na statistics hizi kisha tuanze kwenda kwenye twitterWatz wengi hawapatikani twitter...
anyway
Sasa enda rudi hapo hapo twitter u search 'SGR Ethiopia' uone vile utapata mazungumzo mengi ya wakenya wakiongelea Sgr ya Ethiopia, kisha ukimaliza search "morrocco sgr kenya", ..... utagundua kua Tanzania is not special, you just a blop in some peoples discussions
uki google "Morocco SGR" discussion zote ni za wakenya .... hivyo hivyo ndo utapata ukigoogle "ethiopia sgr" hapo twitter... so Tanzania si special kuhusu hilo gumzo la SGRmijadala kuhusu sgr ya tanzania sio tu kwa wakenya wachache wa jf bali pia hata kwa wakenya wengi wa twitter.
wakenya mmekuwa mnaitajataja sana sgr ya tanzania katika mazungumzo yenyu kule twitter kutuzidi hata sisi watanzania ambao ndio wahusika wa hii project.
sijui hofu yenyu ni nini?.
hii ni sehemu ndogo ya uthibitisho.
View attachment 793063View attachment 793064View attachment 793065View attachment 793066View attachment 793067View attachment 793068
Wewe jamaa ni mshamba sana. Hivi unadhani twitter ni wapuuzi kama wewe? Umejisajili kwenye twitter na kuweka location yako kuwa ni mkeya obviously watakuletea information za Kenya. Hususani taarifa zilizotolewa na either watu uliowafollow au linked followers.uki google "Morocco SGR" discussion zote ni za wakenya .... hivyo hivyo ndo utapata ukigoogle "ethiopia sgr" hapo twitter... so Tanzania si special kuhusu hilo gumzo la SGR
View attachment 793195 View attachment 793197 View attachment 793199 View attachment 793200 View attachment 793201 View attachment 793202
hata huko fb, ni wakenya wengi kuliko watz... besides twitter is the only place you can easily join any conversation across the world or follow trending topics without have to be someones friend or following anyone ... unlike kina facebook where half the conversations are about personal stuff
uki google "Morocco SGR" discussion zote ni za wakenya .... hivyo hivyo ndo utapata ukigoogle "ethiopia sgr" hapo twitter... so Tanzania si special kuhusu hilo gumzo la SGR
View attachment 793195 View attachment 793197 View attachment 793199 View attachment 793200 View attachment 793201 View attachment 793202
Wewe jamaa ni mshamba sana. Hivi unadhani twitter ni wapuuzi kama wewe? Umejisajili kwenye twitter na kuweka location yako kuwa ni mkeya obviously watakuletea information za Kenya. Hususani taarifa zilizotolewa na either watu uliowafollow au linked followers.
Unadhani Twitter wanaweza kukuletea taarifa za dunia nzima kwa wakati mmoja. Kijana uwezo kwako bado mdooogo sana kujua mambo ya IT. Jaribu kuingi kwa account tofauti kabisa huku ukitumia proxy twitter itatambua kuwa location yako siyo ya kenya au siyo ya East Africa, itakuletea issue za hiyo IP Address.
Wewe mshamba sana kijana.
Wakennya ni watu wako open minded sana, na hivyo hua inawafanya wakue watu exposed wanaofwata maendeleo tofauti tofauti duniani na hua tunapenda kulinganisha au kutumia mifano kutoka kote duniani... mitanzania ikiskia imetajwa kwa conversation inaanza kufura kichwa...Hapo umewajibu ipasavyo, watakua na matatizo kama hawakuelewi, Wakenya hujadili mifumo yote ya SGR ikiwemo ya kule Morocoo, sasa Watanzania wakiona wametajwa na Mkenya wanajipa misifa hadi basi.
angalau hujakanusha ukweli wa kwenye mada kuu licha ya kupiga porojo zako.Watz wengi hawapatikani twitter...
anyway
Sasa enda rudi hapo hapo twitter u search 'SGR Ethiopia' uone vile utapata mazungumzo mengi ya wakenya wakiongelea Sgr ya Ethiopia, kisha ukimaliza search "morrocco sgr kenya", ..... utagundua kua Tanzania is not special, you just a blop in some peoples discussions
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wasiwasi ni lazima kwasababu wameshajua kua wamekosea na wameshapigwa na mchina sasa inauma leo kushuhudia jirani yako anapatia tena at the ryt time tena inauma zaidi kuskia the modern electric train in africa under european standards inauma sana kwakweliππ
Nimesema wewe ni mshamba sana. Hujui chochote. Hata usipo login IP address ya simu yako itaonesha location ipi. Tena ukiongeza na ku enable GPS ndiyo kabisa wanakuletea news za pale ulipo.Mshamba bongolala ni wewe unayefikiri mwenzako hajawai fika jijini na ni wewe tu kijiji kizima ndo ulifika jiji kuu!!!
ukiangalia screenshot ya kwanza utaona siku log in kwahivyo twitter haikujua preference yangu au ni topic gani au watu gani hua na follow....
tena isitoshe, nimerudi hapo twitter na masked ip address inayoonyesha niko france na bado niliposearch sgr Morocco ikawa conversation ni za wakenya
... Kwahivyo ukiona wakenya huko twitter wanataja sgr tanzania, haimaanishi mko special, hata jaribu ku search 'ethiopia light rail' utapata 70% ya hayo mazungumzo yalitoka kwa wakenya wakitaka ijengwe kama hio jijini Nairobi. ..
View attachment 793234
huyo unajisumbua bure ni bogus kabisa yani mweupe kabisa kichwaniππππππNimesema wewe ni mshamba sana. Hujui chochote. Hata usipo login IP address ya simu yako itaonesha location ipi. Tena ukiongeza na ku enable GPS ndiyo kabisa wanakuletea news za pale ulipo.
Twitter ipo na news nyingi sana kijana. Eti wakuletee news za dunia nzima wakati kila sekunde watu wanapost. Ondoa ushamba. Ni kama kilaza mwenzako alikuja akitamba eti google wameweka bendera ya Kenya kwenye google search. Huu ni ushamba wa hali ya juu. Kijana kama hujui mambo kubali ufundishwe siyo kujifanya mjuaji wakati hujui.
Imekuonesha wapi wakati unatumia mtandao wa safaricom ya Kenya.