Majirani( Ke ) wanawasiwasi na SGR ya Tanzania kuliko hata wakandarasi waliopewa tender

we jua tu matusi ni dalili ya kushindwa na akili finyu...
 
we jua tu matusi ni dalili ya kushindwa na akili finyu...
Jibu swali nimekuuliza eti jamaa yako amesema kaingia twitter kwa kutumia IP Address ya France unakubaliana naye?
 
Wewe mjinga sana kijana. Hujui chochote kaa kimya.
Baada ya kujisifu wewe ni gwiji wa Software Development na unajionyesha wazi haujui lolote zaidi ya what is an IP adresss. .. Yani project leader mzima hajui VPN ni nini au inatumikaje.... Hivi hata movie hauangalii ama hua hauelewi wanasema nini kusikia mtu ana bounce IP address to different servers across the world....
Nilikiuonya usijipige kifua kabla ya kuonyesha ueledi wako, sasa angalia... anyone with working knowledge of VPNs anakucheka akikusikitikia vile unajiaibisha
 
Hahahahaha!! Jamaa namuona anatoa povu. Tunaweza kumpiga trick kidogo akatoa hata passwords zake.
Jamaa bado yupo nyuma sana. Hajui sisi ni Jeshi la Wananchi Mitandaoni Tanzania (JWMTZ).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Jibu swali nimekuuliza eti jamaa yako amesema kaingia twitter kwa kutumia IP Address ya France unakubaliana naye?
hihihihi, ati wewe ni gwiji wa IT na unauliza kama inawezekana kuficha IP adreess na kutumia fake ip ya nchi nyengine... hihihi Sasa nikikwambia unaweza geuza hata MAC address ya laptop ili hata ukishikwa na laptop hakuna mahakama itakubali kua ni hio laptop ndo ilitumika kufanya hii comment... si utaanza kuniita mchawi ...


Anyone with real IT knowledge please help this guy
 
Kijana nakuona hujui hata tofauti ya VPN na Proxy.
Nenda shule kwanza kijana. Twitter wanajua issue nyingi sana kuhusu computer yako.
Tafuta TOR browser ili uanze kuingia kwenye Deep and Dark Websites.
 
Kijana kuficha IP hiyo inaitwa Proxy. Haiwezi kuwazuia Twitter kujua wewe ni wa wapi.
Nimekueleza


Jifunze mambo siyo ukipata ka kitu kadogo tu unajifanya unajua.
 
mbona maneno mingi buda...hofu ya nini?. tulia acha watu waifanyie kazi hiyo IP address.
tutakuletea matokea. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
vipi hacking ya 51.15.238.212 imefika wapi? chunga sije ukaingia kwa honeypot ukaendelea kujiaibisha hadharani
 
vipi hacking ya 51.15.238.212 imefika wapi? chunga sije ukaingia kwa honeypot ukaendelea kujiaibisha hadharani
Hahahaha eti VPN. Hapa JF hatuna tabia za ku expose issue private za watu. Sisi ni watu wazima na intelligent.
Sisi siyo watoto wa kuaibishana kama huko kwenu Kenya. Hatuendeshwi na mihemko.
Ni kukusaidia tu.
 
ichoboy01 njoo huku ututegulie hichi kitendawili cha kwanini Wakenya wakiskia SGR ya Tanzania roho zinawauma
 
vipi hacking ya 51.15.238.212 imefika wapi? chunga sije ukaingia kwa honeypot ukaendelea kujiaibisha hadharani
Hapo tu kwa kuanzia. IT ina miiko yake kijana. Usipende kuiweka uchi.
 
Kijana nakuona hujui hata tofauti ya VPN na Proxy.
Nenda shule kwanza kijana. Twitter wanajua issue nyingi sana kuhusu computer yako.
Tafuta TOR browser ili uanze kuingia kwenye Deep and Dark Websites.
Hihihi jamaa anazidi kujiabisha, nimekuwekea ip adress hadharani! hii hapa tena 51.15.238.212 niambie niko wapi na natumia ddvice gani na OS version gani.... eti twitter wanajua mambo mengi kuhusu computer yangu... What computer? ile yenye inaflash cookies every time I open a browser, computer ipi hio, yenye iko France ama ile ya Netherlands... ama ni ile ya UK... sije ikawa ni ile ya SA!!!

Anyway, kujibu swali lako....most bebsites are passive (including teitter) .beyond accessing coockies, IP...they dont query your computer .... And even if they wanted to, they will only see buch of gibberish that can only become information if the have the random encryption key which they dont... Only the like likes of NSA ndo wako na supercomputer na experts wa cryptography ambao wanaeza break such encryption. .. ....


Alafu unaanza kunitajia TOR browser ikifikiri ndo umefika..hahahaha please just stop TOR browser tulitumia tukibalehe wakati tulikua curious kujua kunani huko ... Sasa naelewa kwanini watanzania wanaojiskia wanajua kitu hua wanapenda kujigamba.... Jamaa akijua TOR anajiita IT expert!



next time when replying tafadhali, use your so called IT expertise kujieleza, si kuita watu wajinga wakati hakuna lolote la maana unasema... wacha kunipatia CV yako (eti unajua Tor browserna dark web) sijakuuliza mimi... tunaongelea kuhusu kuficha public ip address ya mtu kutumia VPN
 
Mbona povu kubwa hivyo kijana. Nimekuuliza swali dogo tu. Eleza tofauti ya VPN na Proxy. Unaandika maneno meengi.
Naona unakimbia kimbia tu kijana kama mwendawazimu. Swali dogo unaandika kwa msisimko kama umechovya pilipili.

Eti encryption hahahaha unajua aina gani wewe mshamba. Kwanza nina kutaka kijana uelewe tofauti ya Proxy na VPN ndipo tuende sawa. Kisha turudi sasa kwako.

Hahaha!!! Hivi hujui twitter inaweka taarifa nyingi tu kwenye computer yako ambazo baadae inazitumia?
How sure you are browser hai access local information zako?

Kha! ujinga ni mzigo mkubwa sana. Nenda shule kwanza kijana.
 

Na badoo, itakapoanza kujengwa bandari ya Bagamoyo iliyokuwa ikiwatisha zaidi ndio watajua kuwa sisi hatutanii. Hii bandari ni muhimu sana kwa ukanda huu itakuwa na uwezo wa kiutendaji mara 20 ya bandari ya Mombasa. Tunakuja watusubiri tu.
 
pongezi, unajua kufanya simple data gathering.... je unajua inamaanisha nini ? hebu tufundishe gwiji wa IT!

traceroute to 51.15.238.212 (51.15.238.212), 30 hops max, 60 byte packets
1 ip-10-0-0-14.ec2.internal (10.0.0.14) 0.784 ms 0.903 ms 0.781 ms
2 216.182.226.44 (216.182.226.44) 16.520 ms 16.525 ms 16.573 ms
3 100.66.8.194 (100.66.8.194) 24.247 ms 100.66.8.206 (100.66.8.206) 16.258 ms 100.66.8.200 (100.66.8.200) 17.410 ms
4 100.66.11.196 (100.66.11.196) 20.177 ms 100.66.10.98 (100.66.10.98) 20.285 ms 100.66.10.206 (100.66.10.206) 20.223 ms
5 100.66.7.229 (100.66.7.229) 16.884 ms 100.66.6.75 (100.66.6.75) 16.757 ms 100.66.6.193 (100.66.6.193) 16.983 ms
6 100.66.4.169 (100.66.4.169) 15.635 ms 100.66.4.133 (100.66.4.133) 15.858 ms 100.66.4.85 (100.66.4.85) 12.463 ms
7 100.65.11.33 (100.65.11.33) 1.216 ms 100.65.11.129 (100.65.11.129) 1.091 ms 100.65.9.225 (100.65.9.225) 6.945 ms
8 52.93.24.2 (52.93.24.2) 8.435 ms 52.93.24.30 (52.93.24.30) 13.111 ms 52.93.24.6 (52.93.24.6) 3.999 ms
9 52.93.24.33 (52.93.24.33) 2.056 ms 52.93.24.35 (52.93.24.35) 2.014 ms 52.93.24.21 (52.93.24.21) 2.031 ms
10 52.93.26.33 (52.93.26.33) 54.572 ms 54.239.108.96 (54.239.108.96) 2.386 ms 54.239.108.198 (54.239.108.198) 40.952 ms
11 54.239.109.19 (54.239.109.19) 3.582 ms 54.239.108.71 (54.239.108.71) 2.473 ms 54.239.108.241 (54.239.108.241) 2.541 ms
12 ae10.ashburn2.ash.seabone.net (195.22.206.84) 2.348 ms 2.491 ms 2.486 ms
13 ae21.parigi52.par.seabone.net (195.22.210.107) 94.771 ms 124.607 ms 94.707 ms
14 online.parigi52.par.seabone.net (213.144.183.53) 92.068 ms 92.152 ms 92.192 ms
15 49-infra-dc2-a9k2.dc3.poneytelecom.eu (195.154.1.119) 91.897 ms 92.057 ms 89.872 ms
16 * * *
17 * * *
18 * * *
19 212-238-15-51.rev.cloud.scaleway.com (51.15.238.212) 89.726 ms 92.016 ms 92.214 ms
 
Ujinga mtupu! Who tracks user identity using IP address? Twitter app has permission to access your phone number, your google email address,your last gps location, your sms, your MNO unique identifier, your wifi settings your photos and your phone book. Even cookies are now an old tracking method used only by websites with no capability of an app..Toddlers in Technology
 
Asante ndugu yangu.
 
Unaingilia kati wakati haujui vilianzia wapi!
What permission when you are unregistered user?

What google email adress when I did not log in when I searched twitter for that info?

what MNO itentifier or last gps location or SMS when I had not logged in on twitter plus already flushed my cookies. ..



Hebu jibu hili swali simple... if a dlete all my cookies, use a VPN server in France, and access twitter without loging in... will twitter still geolocate me? and if yes, elezea how
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…