Majirani( Ke ) wanawasiwasi na SGR ya Tanzania kuliko hata wakandarasi waliopewa tender


Vilianzia hapa:



Usitake kuwapumbaza watu kama hujui kubali
 
Halafu maswali haya ni ya kitoto kabisa.
Kwenye HTML5 kuna kitu kinaitwa Web Storage unakijua kazi yake?
 
Ndiyo maana nimwekueleza mjinga wewe. Twiter wanatumia njia nyingi tu za kukujua wewe unatoka wapi na wanaweza kukupatia information.
Na wala sija ping hapo kijana. Angalia ulivyo mjinga sasa. Pinging haikupatii detailed information kama nilizokupatia.
Hapo iiliyobaki ni issue ndogo tu.

Nimekuuliza unajua tofauti ya Proxy na VPN? Unaua limitations za Web browsers?
Sasa vipi kuhusu Apps unazo install humo what do they store in your mobile?
Wewe ni mjinga kubali ufundishwe.
 
Kijana ngoja tukufundishe sasa.
1. Twitter kwenye mobile is an App.
2. Kuna kitu kinaitwa low level security na high level security. Vitu vingine wanakuuliza permission but others hawakuulizi.
3. Ndani ya simu yako kuna kitu kinaitwa local storage (This is a system storage only specific app can access infor)
4. Google, Twitter, whatsapp, Facebook nk biashara yao ni data they sell data.
5. Twitter are not stupid like you.
 
vipi hacking ya 51.15.238.212 imefika wapi? chunga sije ukaingia kwa honeypot ukaendelea kujiaibisha hadharani

hasira yako ya kuadabishwa na comrade annael usiilete kwangu.malizana kwanza na annael ndio uje kwangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
akikufafanulia alichoelewa hapo juu nitag comrade. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
angalia huyu, unazidi kupotea zaidi, umevuka fence sasa unaelekea gizani... Where did you see me use twitter app? Infact apps like fb and tt dont allow you to use them until you log in!!!! vipi kijana, una google nini?
 
akikufafanulia alichoelewa hapo juu nitag comrade. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mtu anayetuumia Kali Linux ndani ya virtual box kama mimi akiona comment kama hii hata hajui asemeje... SMH .. just stop please... that is pentesting 101
 
mtu anayetuumia Kali Linux ndani ya virtual box kama mimi akiona comment kama hii hata hajui asemeje... SMH .. just stop please... that is pentesting 101
porojo hii. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ume run traceroute ambayo nimesema umefanya! malizia kabisa hicho kilichobaki gwiji alafu uniambie niko wapi, natumia network gani...etc

proxy na VPN basically the same, tofauti VPN iko na end to end encryption kati ya mashini na vpn server...



gwiji wa IT ana maswali mengi kuliko majibu, nani ndo mwanafunzi hapa? hatuko hapa kujigamba nani anajua nini wala nini...

IP address nilikupa ukatapatapa nayo ukabakia kunionyesha jina lilioandikwa kwa server ya ufaransa! !!! yani kitu ambacho mtu yeyote mwenye basic IT or networking knowledge anaweza fanya, alafu unaniambia eti bado kitu kidogo!!! Haa! Gwiji wa IT!!!!!
 
angalia huyu, unazidi kupotea zaidi, umevuka fence sasa unaelekea gizani... Where did you see me use twitter app? Infact apps like fb and tt dont allow you to use them until you log in!!!! vipi kijana, una google nini?
Nimeshamalizana na wewe umebaki kutoa porojo tu. Kusema ukweli umepata elimu kubwa hutarudia tena kutuletea information kutoka kwenye twitter search.
 
Nimeshamalizana na wewe umebaki kutoa porojo tu. Kusema ukweli umepata elimu kubwa hutarudia tena kutuletea information kutoka kwenye twitter search.
he! such tactics can only work on your fellow danganyikans, eti kujifanya umeshinda wakati hakuna lolote umesema, umeongelea kuhusu twitter app wakati watu hawatumii app... kazi ni kuweka emoji nyingi kujiliwaza eti unacheka kumbe kilio moyoni manake aibu tupu.....kama huyu ndo gwiji wa IT wa Tz basi jamaa wako taabani, you have embarrassed the whole IT fraternity that has ever existed... kama ilikua kazi yako ni kuzunguka ukiambia watu wewe ni mtaalam wa IT tafadhali wacha, utaharibia watu mashini bure!
 
Tetetetetete . Je utarudia tena? By the way there is no "IT fraternity" on the earth.
Go back to school, siyo kuja kujiaibisha bila sababu. Kama unajambo jingine mimi nipo tayari kukusaidia hata kigumu gumu tu hivi.
 
Boss changing your IP address to some crazy france IP address cannot fool twitter even twitter accessed via web browser since twitter accesses the browser info which also contains the date,time,operating system version and location when the browser was installed. Unless ofcourse you opened a private tab which I know you did not.
Hide your ignorance, I realy wonder what you do with kali linux, pentests are for infrastructure security not web/app security layer..App security is a whole different ball game that cannot be understood by CCNA/P script kiddies. The loophole is the app API and how the code handles exceptions
 
when I talked about pentest I was talking to kadoda about reading and understanding basic data gathering text results like running a detailed nmap, which is lie the first thing you have to learn in pentesting..



Tetetetetete . Je utarudia tena? By the way there is no "IT fraternity" on the earth.
Go back to school, siyo kuja kujiaibisha bila sababu. Kama unajambo jingine mimi nipo tayari kukusaidia hata kigumu gumu tu hivi.
Wcha wewe fake gwiji wa emoji za majonzi nikunyamazishe sasa, siasa za abunuasi ziaisha leo

Mashini imewekwa OS mpya juzi hii hapa, leo siku ya kwanzainaingia mtandao, Tor browser yenyewe! (The father of anonymous) nimeinstall kwa flashdisk sasa hivi na kuingia mtandaoni first destination ni twitter na first search ni "SGR Morrocco" resulst are the same..... Concluson is the same, kwamba Tanzania is not special to any Kenyan, just a blop in the wider discussion about SGR, hakuna mtu anaweweseka wala kuteseka na SGR tanzania zaidi ya vile wakenyahujadili SGR zengine africa kama vil Ethiopia, Morocco etc


Haya Mkikuyu- Akili timamu na mwenzako Anneal fae gwiji, Niambieni twitter ilitumia mbinu gani sasa kupita duckduckgo.com search engine na kupita encryption zote za Tor browser hadi kufika kwa mashini mpya na kumaliza kwamba niko Kenya!!!! kazi kwenu



 
Boss, does your browser auto update? Yes? Every software nowadays always "calls home" and collects your personal info which is "anonymized" and sent to their servers. Most of this identifiable info is sold by web browsers like firefox, explorer and G browser to websites like twitter, FB, etc.
Or how else do you think developers of web browsers get paid? you thought its free?? hahaha
 
did you even understand? browser is running on a live USB for the first time on a new OS.

And we are taliking about Tor browser here!@!@ I repeat... T-O-R browser.. the go to brownser for hitmen, blackhats and all sotrs of ppl who are never tracable even to intelligence agencies...... seriously dude... tor onion browser!
not firefox!. ontop of that add duckduckgo.com search engine that doesnt share personal info with anyone!
(mind you, there was no personal info to be shared since I had not loged in to any site, or even accessed any other site for that matter)

An OS that has never stored any personal info about anyone today the first day accessing internet through this OS, and you taking about auto update and anymouse usage data sold to third parties!
 
See your ignorance, TOR once connected to the onion network and gets an annonymized node IP number does not work with google, they block it! so stop pulling things out of thin air showing us here how you fake googled with TOR.
You are very poor in I.T , you are the kind that throws jargon and acronyms around to look knowledgable..And for your infomation, All operating sytems from linux kernel 2.6 and windows kernel 6.0 set their time automaticaly not from the CMOS but from unix time server and widows time server everytime you connect, and yes, your service provider IP is used to auto set these..That info is stored in OS files and application such as web browsers constantly access it So a "clean new OS" is silly thinking unless you dont use it to connect
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…