Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Ndiyo iwe sababu ya kukanyaga democracy ?!.Wewe punguani mmesahau mlivyokuwa mnauana sisi ndiyo tukaja kuwasuluhisha na kuwapa somo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo iwe sababu ya kukanyaga democracy ?!.Wewe punguani mmesahau mlivyokuwa mnauana sisi ndiyo tukaja kuwasuluhisha na kuwapa somo?
Sasa suluhisho kwa hayo unayoyasema ni nini? Si ni haya ambayo yanaendelezwa na rais U.K kwa sasa? Kuna msemo flani kwa lugha ya kiluhya, 'vindu vichenjanga', yaani mambo yabadilika. Sasa hivi ukiniambia Kenya tuige ubabe unaoendelea Tz au tuwaalike mtufunze kuhusu masuala kama haya ntakuita kichaa.Wewe punguani mmesahau mlivyokuwa mnauana sisi ndiyo tukaja kuwasuluhisha na kuwapa somo?
Ndio namshangaa huyo shangazi yetu. Anatueleza sisi wakenya tubaki kwenye historia na kwamba tusijiboreshe, eti kwasababu kuna siku tulifeli.Ndiyo iwe sababu ya kukanyaga democracy ?!.