Majirani mna cha kujifunza kutoka kwa Wakenya, Uhuru, Ruto na Raila washirikiana kwenye kukagua bandari mpya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Itokee huko kwenu rais Magufuli, Mbowe, Lissu, Zitto na hata Seif wa Zenji waungane wote kwa pamoja kwenda kukagua mradi kwa ushirikiano tena kizalendo na bila kupigana mikwara wala kutishiana.
Maendeleo hayana chama, kuna wakati wa uzalendo kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa, ikifika wakati wa ushndani wa kisiasa zitapigwa tu.
----------------------------

President Uhuru Kenyatta, his deputy William Ruto and Opposition leader Raila Odinga on Saturday toured Kisumu inland port to check on the progress of the ongoing rehabilitation works ahead of the launch this month.
The trio made the low-profile inspection visit after attending Dr Joyce Laboso’s burial ceremony in Koru.
It is the first time Mr Ruto is visiting the port while Mr Kenyatta and Mr Odinga have been there a couple of times this year.
At the funeral, in an uncharacteristic change of attitude towards the unity between Mr Odinga and Mr Kenyatta, the Deputy President said he supported the peace pact which is aimed at uniting Kenyans.
“I want to assure my brother Raila Odinga that we are going to work together under the leadership of President Uhuru Kenyatta to ensure the country is united,” he said.
Mr Ruto has in the past openly criticised the peace pact, accusing Mr Odinga of insincerity and scheming to scuttle the ruling Jubilee Party.

SELFLESS ACT
The handshake politics also resulted in a split in Jubilee, with a group christened Tangatanga, associated with the DP, claiming Mr Odinga was out to scuttle Mr Ruto’s 2022 presidential ambitions.
The ODM leader, who has been embraced by a section of the Cabinet and even attended official government functions, on the other hand, retorted with accusations of corruption against the Deputy President, while insisting that his focus and the President was to keep Kenya united and offer the nation the stability it needs for economic growth and development.
The duo has insisted that its interests were purely for Kenyans’ good and 2022 politics has not featured on their discussion table.
After the visit to the Kisumu port, the three-headed to Kisumu State Lodge.
As has been usual with Mr Kenyatta and Mr Odinga's visits to the port, the convoy and security were lean with unofficial cars and no traffic clearance.
While the President has visited the facility on four occasions, Saturday was the first time for the Deputy President.
BLUE ECONOMY
Mr Odinga has visited the port six times. The government has put in place urgent measures to complete the Sh3 billion project ahead of the launch later this month.
Both Mr Kenyatta and Mr Odinga visited the port twice last month. The port is expected to be launched on August 15, which is the tentative date for the commissioning.
East African heads of state (Yoweri Museveni of Uganda, Felix Tsishekedi of Democratic Republic of Congo and Rwanda’s Paul Kagame) are expected to attend the event that is set to signal the journey towards the revival of blue economy in the lake region and position Kisumu strategically in marine activities, including the oil jetty launch.
As has been the norm in the recent past, members of the media were kept at bay as the Head of State used unofficial vehicles to avoid attracting members of the public.
Mr Ruto, while addressing mourners in Fort Ternan, Koru, assured the government of his support for the handshake initiative.
The three leaders also visited the Marine School and the dockyard where the 1,000-tonne and 91-meter-long MV Uhuru ship cargo is berthed.
QUALITY JOB
The trio was also accompanied by Kisumu Governor Anyang’ Nyong’o and top government officials.
After an extensive tour of more than one and a half hours, they drove to the adjacent Kisumu State Lodge.
During the President’s visit last month, he called on the contractors to deliver with speed and do a quality job.
Prof Nyong’o said Mr Kenyatta pledged to ensure that the port was operational and ordered that everything must be up and running by August 15.

images
Hata na sisi wakenya pia tuna mengi ya kujifunza. Its a very good image for our country, our stability, our unity and everything else in between.
 
Wapinzani wapi unawaongelea?

Hao wanaotetea unyonyaji?
Hao wanaoomba usiku na mchana airtanzania ifilisike?
Hao wanaoshirikiana na mabeberu kuihujumu nchi?

Upinzani Tanzania hawana tofauti na magaidi ndio maana Watanzania hawataki kuwasikia
 
Mnafaa muwape wapinzani wenu uhuru, wawezesheni wajihisi na wao pia ni Watanzania, mumewabana hawawezi hata kusanyika watano kabla hamjatembeza kichapo ilhali nyie CCM mpo kwenye kampeni kabisa mnahutubia halaiki nchi yote.
Mna cha kujifunza kutoka kwa rais Uhuru, yeye amewaachia wapinzani wa Kenya uhuru wa demokrasia, amewaleta karibu na hii imesababisha watu kuwa kimoja kwenye maslahi ya taifa.

Hayo ya kuwabana wapinzani husababisha uzalendo kuzorota, hebu angalia jinsi kuna baadhi ya Watanzania kwenye mitandao ya kijamii walishabikia kuona timu ya taifa ya mpira ikishindwa, wapi duniani uliona kitu kama hicho,yaani watu wafurahi kuona nchi yao inashindwa kwenye michuano ya kimataifa, hata nchi zenye mipasuko kama Somalia huwa kimoja kwa hili yaani mumefumbia macho mambo ya hatari sana.
Hali kama hiyo inasababisha watu hata wasitambue wala kupokea maendeleo yoyote yale, ujenge barabara hadi zipite angani lakini umewaminya kidemokrasia, watakosoa na kuchukia kila unachokifanya.
 
Kama unajua history ya hii mikutano ya vyama vya upinzani huko nyuma ndio utaelewa kusudi la kupigwa marufuku

Hii mikutano iligubikwa na maandamano kila siku, wakati mwingi barabara zinafungwa na shuguli kusitishwa kwenye miji mikubwa ili kupisha mikutano

Hii mikutano ilikuwa ikileta fujo vibaka wanavamia maduka na kupora mali za watu na kuvunja maduka ya watu baada ya kuhamasishwa na viongozi wao

Hii mikutano ilipelekea kupoteza maisha ya makumi ya raia wengine ambao wala wengine hawakuwa kwenye mikutano sababu fujo haina macho (kuna kipindi mpaka mkenya aliuwawa kwenye hizi fujo)

Hii mikutano ilikuwa kero badala watu wafanye shughuli za uzalishaji mali inakua ni kila kukicha mikutano utafikiri nchi ipo kwenye uchaguzi kila siku.

JPM kuliona hilo mikutano hii isiendelee kupoteza maisha ya watu kaamua kuizuia sababu ya kujali maisha ya Watanzania na kujali uwajibikaji badala ya siasa uchwara

Malofa hawaelewa hili.
274762AC-FA71-45D4-BF47-2003658471C9_w408_r1_s.jpg
 
Itokee huko kwenu rais Magufuli, Mbowe, Lissu, Zitto na hata Seif wa Zenji waungane wote kwa pamoja kwenda kukagua mradi kwa ushirikiano tena kizalendo na bila kupigana mikwara wala kutishiana.
Maendeleo hayana chama, kuna wakati wa uzalendo kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa, ikifika wakati wa ushndani wa kisiasa zitapigwa tu.
----------------------------

President Uhuru Kenyatta, his deputy William Ruto and Opposition leader Raila Odinga on Saturday toured Kisumu inland port to check on the progress of the ongoing rehabilitation works ahead of the launch this month.
The trio made the low-profile inspection visit after attending Dr Joyce Laboso’s burial ceremony in Koru.
It is the first time Mr Ruto is visiting the port while Mr Kenyatta and Mr Odinga have been there a couple of times this year.
At the funeral, in an uncharacteristic change of attitude towards the unity between Mr Odinga and Mr Kenyatta, the Deputy President said he supported the peace pact which is aimed at uniting Kenyans.
“I want to assure my brother Raila Odinga that we are going to work together under the leadership of President Uhuru Kenyatta to ensure the country is united,” he said.
Mr Ruto has in the past openly criticised the peace pact, accusing Mr Odinga of insincerity and scheming to scuttle the ruling Jubilee Party.

SELFLESS ACT
The handshake politics also resulted in a split in Jubilee, with a group christened Tangatanga, associated with the DP, claiming Mr Odinga was out to scuttle Mr Ruto’s 2022 presidential ambitions.
The ODM leader, who has been embraced by a section of the Cabinet and even attended official government functions, on the other hand, retorted with accusations of corruption against the Deputy President, while insisting that his focus and the President was to keep Kenya united and offer the nation the stability it needs for economic growth and development.
The duo has insisted that its interests were purely for Kenyans’ good and 2022 politics has not featured on their discussion table.
After the visit to the Kisumu port, the three-headed to Kisumu State Lodge.
As has been usual with Mr Kenyatta and Mr Odinga's visits to the port, the convoy and security were lean with unofficial cars and no traffic clearance.
While the President has visited the facility on four occasions, Saturday was the first time for the Deputy President.
BLUE ECONOMY
Mr Odinga has visited the port six times. The government has put in place urgent measures to complete the Sh3 billion project ahead of the launch later this month.
Both Mr Kenyatta and Mr Odinga visited the port twice last month. The port is expected to be launched on August 15, which is the tentative date for the commissioning.
East African heads of state (Yoweri Museveni of Uganda, Felix Tsishekedi of Democratic Republic of Congo and Rwanda’s Paul Kagame) are expected to attend the event that is set to signal the journey towards the revival of blue economy in the lake region and position Kisumu strategically in marine activities, including the oil jetty launch.
As has been the norm in the recent past, members of the media were kept at bay as the Head of State used unofficial vehicles to avoid attracting members of the public.
Mr Ruto, while addressing mourners in Fort Ternan, Koru, assured the government of his support for the handshake initiative.
The three leaders also visited the Marine School and the dockyard where the 1,000-tonne and 91-meter-long MV Uhuru ship cargo is berthed.
QUALITY JOB
The trio was also accompanied by Kisumu Governor Anyang’ Nyong’o and top government officials.
After an extensive tour of more than one and a half hours, they drove to the adjacent Kisumu State Lodge.
During the President’s visit last month, he called on the contractors to deliver with speed and do a quality job.
Prof Nyong’o said Mr Kenyatta pledged to ensure that the port was operational and ordered that everything must be up and running by August 15.

Kiukweli kwenye mambo ya kijamii Kenya haiwezi kutufundisha chochote Tanzania. Tupo mbali sana kwenye hiyo sekta.
 
Tanzania ni zaid ya Kenya

Lowasa karudi kwa Baba na Mama
 
William Ruto ni makamu wa Rais wakati Raila na Uhuru kuna game wanacheza kuelekea 2022.
Hamna cha kujifunza hapo.
 
Naona wame manage kuondoa water hycinth kwa maji, hii ndo ilikua changamoto kubwa.

TOUPIC.jpg

Alafu Rais wa DRC Congo atakua anafanya nini kwa mkutano wa EAC heads of state? Kwani anataka kujiunga na northern corridor infrastructure projects au vipi ... Ingekua huyo rais wa DRC anaenda Tz kuzindua bandari hamngekalika humu jf, tungepigiwa hadithi mwezi mzima vile Superman (JPM ) amefanyikiwa kupiga dili kwahivyo mizigo yote ya DRC itapitia kwao na Kenya watabaki kula huu na kwamba nchi zote jirani hazitaki kujihusisha na Kenya ...blah blah blah
 
Our politics is mature and the democratic space is getting even wider
 
William Ruto ni makamu wa Rais wakati Raila na Uhuru kuna game wanacheza kuelekea 2022.
Hamna cha kujifunza hapo.

Hapo kuna Dili linachezwa la kumfanya Ruto ni under dog. Inabidi awe makini sana. Hapo come 2022, Raila for presidency, but Ruto sidelined.
Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.
 
William Ruto ni makamu wa Rais wakati Raila na Uhuru kuna game wanacheza kuelekea 2022.
Hamna cha kujifunza hapo.

Kuna nini cha ajabu kwenye michezo ya siasa, hii ni kawaida politics is about survival, Ruto hayupo hapo kisa Uhuru anampenda sana, ila yuko hapo kwa sababu amejua kucheza karata zake. Wote hao kila mmoja anacheza michezo yake kwenye level ya juu, ila furaha yangu ni pale panahitajika mambo ya kizalendo wanakutana na kuweka utaifa mbele.

Huko kwenu hata ndani ya CCM mnavurugana hakukaliki, mara mnaanikana maongezi ya simu ya viongozi wa nchi, mtu kama Membe unaanika mazungumzo yake.
 
Sasa mbona Uhuru na Samoei wote wapo Jubilee lakini urafiki wao ni wa mashaka? Vipi kuhusu watu wanaodaiwa kutaka kumuua Samoei? Siasa zenu nyie ndiyo za ovyo kuliko nchi yoyote EAC, labda mnachuana na Sudani Kusini.

Uzalendo Afrika (sio Tanzania peke yake) ulikufa pale vyama vingi viliporuhusiwa. Kuna vyama vingi vya ovyo ovyo kama Chadema vinavyotumiwa na mabwana wao wa nje. Huwezi kushirikiana na watu ambao kila kitu wanapinga.
 
Kwa siasa huwa hamna urafiki wa kweli au uadui wa kudumu, ndio ukweli mchungu, Uhuru na Ruto sio marafiki ila wapo pamoja kwa maslah yao ya kisiasa na kila mmoja anamtegemea mwenzie, ukiwa mwanasiasa lazima ujue jinsi kushirikiana na kila mmoja, ukipata fursa nenda ukatazame series za Games of thrones, utajifunza kitu.
Uhuru ameicheza vizuri sana kwa kuhakikisha Raila hakai mbali naye, maana kuongoza nchi huku nusu ya taifa ni full minung'uno hata ujenge madaraja, reli na barabara ngapi ni kazi bure. Leo hii hapa Kenya tupo kimoja, uzinduzi wowote ule unapokelewa kizalendo na kila mmoja, awe kwenye mlengo wa serikali au upinzani lakini kila mmoja anafurahia chochote kizuri na kukosoa panapostahiki, maana viongozi wetu wamewekanaa sawa kwa maslahi mapana ya taifa.

Hebu wewe jabribu kwenda kwenye JF kule kwa hoja mchanganyiko au jukwaa la siasa, anzisha uzi wowote wa jambo nzuri lolote analolifanya Magufuli, iwe uzinduzi wa Stigeler, terminal 3 au chochote hazitapita dakika kumi uzi unachezea kurasa kadhaa watu wanakosoa hawataki.
Ndivyo ilikua Kenya, lakini kwa Uhuru kuwekana sawa na upinzani na kuwapa uhuru wa kusema, wakaanza kupokea mazuri ya nchi kizaendo. Tanzania ya leo ina Watanzania wanaosheherekea timu ya taifa kufungwa mabao, wap umeona hilo dunia hii. Mtaongea kibabe na kuwatukana wapinzani, mtawazima na kuwafunga lakini ndio ukweli huo, mnaharibu na hamtaki kuskia, waacheni muwape nafasi wapige makelele, wakusanyike, wafanye mikutano yao, mwisho wa siku Watanzania watachagua nani wa kumskliza. Kama kuna lolote nzuri mnafanya, wenyewe wataliona bila kulazimishwa.
Lakini hili ya CCM mnazunguka nchi mkihutubia mikutano, yaani kampeni za 2020 mlishaanza tayari lakini mnawaminya hao wenzenu wa upinzani wasikusanyike hata watano.
 
Back
Top Bottom