Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Ila Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!
Mi naona jiwe angewapa hata bure maana kashachezea kodi zeru halafu analeta figusu za kuuza, awape bure tu tumeshachoka ngonjera zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtatoa wapi hela ya kununulia ndege WAKATI matumizi ni 54bn mapato ni 52b. KQ ni shidaa.
Boss, mnalemewa na maintainance ya ndege saba tu na hasara juu yake. Vibali vya kutua tu kwenye uwanja wa ndege kwa zile route hewa ambazo huwa mnajisifia nazo humu kila uchao hampewi. Ingekuwa ni nyinyi ndio mna'operate' ndege 40 kama hizi hapa chini za KQ, si zote zingechakaa?
 
Sio tu kupakwa chokaa, jiwe anawwza kuipeleka mtwara kubeba korosho au kubeba ng'ombe kutoka chato kupeleka dodoma makao makuu ya nchi yalipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! 😀 Eti kubeba korosho. Hivi ile dili ya korosho mliifanikisha? Maanake zile nyuzi nyingi za koroshow sikuhizi huwa sizioni humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…