pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ila Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndege wanasemaga Africa muzima hakunaga ni bongo pekee iangalieni vizuri kabla haijarudiMnipatie hii kitu Nitengeneze pesa hii Midanganyika hawajui cha kuifanyia
Nakuambia, hii comedy ni mwoto sana.hahahahaha..... uswahilini kuna vituko aisee
Acha mzaha boss, unamaanisha mwendazake Lucy Kibaki? [emoji15]
Mi naona jiwe angewapa hata bure maana kashachezea kodi zeru halafu analeta figusu za kuuza, awape bure tu tumeshachoka ngonjera zakeIla Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!![]()
Wakenya mnunue hii ndege haraka sana kabla haijapakwa chokaa.Ila Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!![]()
Sio tu kupakwa chokaa, jiwe anawwza kuipeleka mtwara kubeba korosho au kubeba ng'ombe kutoka chato kupeleka dodoma makao makuu ya nchi yalipo
Boss, mnalemewa na maintainance ya ndege saba tu na hasara juu yake. Vibali vya kutua tu kwenye uwanja wa ndege kwa zile route hewa ambazo huwa mnajisifia nazo humu kila uchao hampewi. Ingekuwa ni nyinyi ndio mna'operate' ndege 40 kama hizi hapa chini za KQ, si zote zingechakaa?Mtatoa wapi hela ya kununulia ndege WAKATI matumizi ni 54bn mapato ni 52b. KQ ni shidaa.
Hahaha! 😀 Eti kubeba korosho. Hivi ile dili ya korosho mliifanikisha? Maanake zile nyuzi nyingi za koroshow sikuhizi huwa sizioni humu.Sio tu kupakwa chokaa, jiwe anawwza kuipeleka mtwara kubeba korosho au kubeba ng'ombe kutoka chato kupeleka dodoma makao makuu ya nchi yalipo
Sent using Jamii Forums mobile app