Hahahaa... now you know. Ila nitamtafuta anipe dawa ya kukuvuta wewe uje bongo [emoji2]Kumbe yeye ni daktari wa kienyeji pale kajiado town [emoji16][emoji16][emoji16]
Haha... Eroo pingli-nywee sapoc enkare mmutrsfHahahaa... now you know. Ila nitamtafuta anipe dawa ya kukuvuta wewe uje bongo [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewee!Kumbe yeye ni daktari wa kienyeji pale kajiado town
Unamaanisha kumvuta kivipi? Maanake kuna dawa flani hivi inaitwa inchikuminambili. 😀 Natania, ila endelea tu kumchinjia Jane. [emoji1] Sina bifu lakini dada yetu ukimpoteza ujue wewe kwisha. Tumekubaliana Jane?Hahahaa... now you know. Ila nitamtafuta anipe dawa ya kukuvuta wewe uje bongo [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee 😂 salimia maasai wenzako. Nawapenda sanaUnamaanisha kumvuta kivipi? Maanake kuna dawa flani hivi inaitwa inchikuminambili. 😀 Natania, ila endelea tu kumchinjia Jane. [emoji1] Sina bifu lakini dada yetu ukimpoteza ujue wewe kwisha. Tumekubaliana Jane?
Hahahaa wewe umempeleka wapi dada yetu Na........a!! Wewe siyo mutu musuri [emoji2]. Me and Jane imesha andikwa, utake au usitake.Unamaanisha kumvuta kivipi? Maanake kuna dawa flani hivi inaitwa inchikuminambili. 😀 Natania, ila endelea tu kumchinjia Jane. [emoji1] Sina bifu lakini dada yetu ukimpoteza ujue wewe kwisha. Tumekubaliana Jane?
what has that got to do with you knowing nothing?So it's true they were upgrading jf?I thought sth else was h
Okay Mr! I know nothing. I don't even know that I exist.what has that got to do with you knowing nothing?
Acha mzaha boss, unamaanisha mwendazake Lucy Kibaki? [emoji15]
Lol.Kama wewe ni mtzedi basi itakuwa ulizaliwa huko kimakosa. You're very different from joto la jiwe and others.Ebu mfafanulie aelewe, wajua Watanzania hawajui maana ya ‘mwendazake’ kuwa alishakufa sasa jamaa anataka amfuate Lucy mbiguni(kuzimu!) He is free to follow her in heaven! Please use common sense before writing down your comments! ama utaonekana zuzu!
Walidhani ni rahisi kama kuuza Karanga za Diamond hehehealizani biashara ya ndege ni kama kula biskuti na juis
Vip kuhusu dreamliner zenu mbili zilizopaki DarTuliambiwa Mumbai tunafika April bado tuna-ngoja thisdayes
Lol.Kama wewe ni mtzedi basi itakuwa ulizaliwa huko kimakosa. You're very different from joto la jiwe and others.