Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Hahahaa... now you know. Ila nitamtafuta anipe dawa ya kukuvuta wewe uje bongo [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kumvuta kivipi? Maanake kuna dawa flani hivi inaitwa inchikuminambili. 😀 Natania, ila endelea tu kumchinjia Jane. [emoji1] Sina bifu lakini dada yetu ukimpoteza ujue wewe kwisha. Tumekubaliana Jane?
 
Hahahaa wewe umempeleka wapi dada yetu Na........a!! Wewe siyo mutu musuri [emoji2]. Me and Jane imesha andikwa, utake au usitake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matomaso wanasumbua sana na tena wanaboa yaani wamelazimisha mpaka ndege mpya aina ya AIRBUS ya Atcl iende Nairobi wakaione kwa kuipapasa ili waamini .
 
Acha mzaha boss, unamaanisha mwendazake Lucy Kibaki? [emoji15]

Ebu mfafanulie aelewe, wajua Watanzania hawajui maana ya ‘mwendazake’ kuwa alishakufa sasa jamaa anataka amfuate Lucy mbiguni(kuzimu!) He is free to follow her in heaven! Please use common sense before writing down your comments! ama utaonekana zuzu!
 
Lol.Kama wewe ni mtzedi basi itakuwa ulizaliwa huko kimakosa. You're very different from joto la jiwe and others.
 
@tz_1 mbona hujauliza ile imepark NY ama Mumbai?
 
.
Screenshot_20190409-153413~2.jpeg

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom