Majirani Tanzania hawapo hata kwenye 20 bora Afrika kwenye suala la ujenzi wa miundombinu


Hawajui kusoma kiingereza. Hilo ndiyo kila siku nimeona. Kwa akili ya kawaida tu, Burundi, Mali, Malawi nk. eti wanaipita Tanzania.
🤣🤣🤣
 
Uzi huu Watanzania wameumwa sana. Poleni.
 
Nyie msicheze na wakenya wanajua kiingereza hao ohoooo....
 
Kwani unateseka jombii??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…