Majirani tunawaona maisha safi

Jaribu kuchora kitu kama hiki Bongo uone kama hutafuatwa na Bashite.
Juzi msanii kamtakia rais heri ya siku ya kuzaliwa, halafu akaigiza kwa kutumia picha yake rais, yaliyomkuta anayajua mwenyewe.
Kwenu huko mumeamua kuufuta upinzani na kukojolea demokrasia, vyama vya upinzani vinajitoa kwenye uchaguzi, msijilinganishe na Kenya hata kidogo.

Kuna video niliona sehemu Gado akisema alivyotishiwa huko Tz kwa ile michoro yake.
 
Rudi kwenye hoja ya msingi we mkirinyaga,

Je kinachosemwa na DW ni sahihi au si sahihi?

Usihamishe magoli tafadhali,tujadili hoja iliyoko mezani kwanza.
 
Duh hapo siongezi neno Mkuu
 
Kila siku nakuambia akili yako ni fupi na ni fupi kweli kweli,
Kipanya anachora katuni daily na hakuna anayemgusa,
Jikite kwenye mada nchi ya watembeza bakuli.
 
Rudi kwenye hoja ya msingi we mkirinyaga,

Je kinachosemwa na DW ni sahihi au si sahihi?

Usihamishe magoli tafadhali,tujadili hoja iliyoko mezani kwanza.

Hoja ni ipi maana umeleta picha inayodhalilisha viongozi wetu kisha ukatuomba kila mtu kwa uhuru wake aeleze alichokielewa, au unataka kulazimisha uelewaji wetu.
 
Mbona kakimbia kenya, huko nako walimtisha sababu ya cartoons zake, tunajua.
 
Aiseeee...
umemtaja huyo jamaa (Gado) nikakumbuka mbali sanaaaa..
ngoja nicheke kwanza teh teh teh.. jamaa yupo vizuri sana katika sanaa ya uchoraji.
aliwai kuchora kibonzo kinachohusu Bunge la Tanzania linavyoendeshwa, yaan hadi leo nikikumbuka hicho kibonzo na baki kucheka hata ninapokuwa pekee yangu..[emoji23] [emoji23].
 
hivi nani alimjeruhi lissu vibaya mazee!πŸ˜€πŸ˜€

acacia hoyee

wapinzani wataumia sana mazee πŸ˜€

hapa kazi tuuuu!!

jpm hoyeee! πŸ˜…
 
Attachments

  • CYC9NHNWYAEezdI.jpg
    166.1 KB · Views: 1
  • eec89e3fda72b00ea0bf386dc453b3f5.jpg
    204.1 KB · Views: 1
  • October-30-15-JPM-takes-Office.jpg
    631.8 KB · Views: 1
Hoja ni ipi maana umeleta picha inayodhalilisha viongozi wetu kisha ukatuomba kila mtu kwa uhuru wake aeleze alichokielewa, au unataka kulazimisha uelewaji wetu.

Heheheeeeeeeee,inachoma eeeeeeh
 
Heheheeeeeeeee,inachoma eeeeeeh

Ukileta uzi weka na maudhui pia ili watu wajue umekuja kiligi ligi ujibiwe au umekuja kujadili hoja. Maana kama ni ligi ya mapicha, sio kazi ngumu, tunakujibu tu...

Hahaaaa,Halafu yanajifanya matajiri haya mazwazwa,wameumbuka kweupeeeee
Hahaha matajiri gani hawa wakati wanapewa misaada ya chakula karne hii,
Tatizo midomo yao huwa inawaponza sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha matajiri gani hawa wakati wanapewa misaada ya chakula karne hii,
Tatizo midomo yao huwa inawaponza sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakae kimiya sasa,mijizi halafu mimasikini hii inayojifanya inajua kila kitu,kumbe ni miomba omba kama ombaomba wengine tu
 
Wakae kimiya sasa,mijizi halafu mimasikini hii inayojifanya inajua kila kitu,kumbe ni miomba omba kama ombaomba wengine tu
Wao kila kitu hadi watembeze bakuli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…