Majirani wanaofungulia mziki sauti kubwa wana matatizo gani?

Majirani wanaofungulia mziki sauti kubwa wana matatizo gani?

Yani jirani inakuaje mtu uko kwako, unafungulia msiki hadi nyumba ya 5 au 6 wanasikia?
Ni kua wanataka na wengine wasikie au wanafurahia kusikia mziki kwa sauti kubwa?
Wewe ni Masai? Maana umekomaa sana na neno "msiki"

Anyway, upande wa msiki, sauti kubwa inaongeza vibe. Ila sauti ya chini inaongeza concentration. Muache jirani yako avaibike.
 
Wanakera sana Mkuu, yani hata kama umeshiba ni lazima usikie tena njaa kwa kelele zao za Msiki!

images (1).jpeg

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
 
Ni ushamba na ulimbukeni tu uliopitiliza, wakati mwingine ni kuwa na ile elimu duni ya kuiga kila kinachofanywa na wasanii na mitandaoni .
Tabia hiyo mbaya wanayo pia madereva wa bodaboda na baadhi ya wahudumu kwenye mabasi ya wasio na staha.
 
Ni ushamba na ulimbukeni tu uliopitiliza, wakati mwingine ni kuwa na ile elimu duni ya kuiga kila kinachofanywa na wasanii na mitandaoni .
Tabia hiyo mbaya wanayo pia madereva wa bodaboda na baadhi ya wahudimu kwenye mabasi ya wasio na staha.
Wazee wa bodaboda, hawa jamaa Wanafika Zebra, wanakuta magari yamesimana, ila wao wanatoka mbio hata hawajiulizi mara mbili
 
Ni heri kama anasikiliza nyimbo zinazoeleweka, kiasi kwamba unaweza ukavunga. Mwingine anaweza sauti ya juu, alafu ni nyimbo za uzuni au maombolezo. Stress zake anakuambukiza hadi wewe jirani yake.
 
Yani jirani inakuaje mtu uko kwako, unafungulia mziki hadi nyumba ya 5 au 6 wanasikia?

Ni kuwa wanataka na wengine wasikie au wanafurahia kusikia mziki kwa sauti kubwa?
Soma alama za nyakati
kuna shuhuli inafanyika humo ndani.
 
hasa ukiwa na sound bar watts 1000 sauti kubwa kabisa mpaka mwisho,ni lazima kesho uitwe kwa mwenyekiti wa mtaa wa chama tawala.
 
Yani jirani inakuaje mtu uko kwako, unafungulia mziki hadi nyumba ya 5 au 6 wanasikia?

Ni kuwa wanataka na wengine wasikie au wanafurahia kusikia mziki kwa sauti kubwa?
kuna msenge yupo jirani na geto langu kusema ukweli ana nikwaza sana. Hili geto nalipenda sana ila kila nikifikiria kuhama kwa sababu ya huyu mjinga naishiwa nguvu kabisa.
 
kuna msenge yupo jirani na geto langu kusema ukweli ana nikwaza sana. Hili geto nalipenda sana ila kila nikifikiria kuhama kwa sababu ya huyu mjinga naishiwa nguvu kabisa.
Muhuni atakuhamisha mtaa.
 
Muhuni atakuhamisha mtaa.
Anazingua sna halafu kazi ninazofanya narudi geto nimechoka sana. Kurudi kwangu ni kuanzia saa 4 usiku ila huwezi amini jamaa anafungulia sauti alafu anapitiwa usingizi mtaa mzima kuna kelele maana usiku kuna utulivu. Nashindwa kumuambia ila najiuliza wenzangu hawaoni kero? Sitaki kuonekana kama kiherehere ila anazingua big time.
 
Pengine kila mmoja ni ile anawaza "nani atamfunga paka kengele?"
Si unajua mjini kila mtu anajifanya anafanya yake
 
Back
Top Bottom