Majirani zetu Kenya wanahenyeshwa na kizazi Cha 1990s, Wabunge wako njia panda

Mkuu wewe vipi? au ni Keybord worrior? Make Taifa lina Wajinga wengi plus Keybord Worrior wengi sana.
 
Jo Bwana, unamfananisha kijana anayejipambania na Chawa anayetegemea arushiwe buku 7 ndo aishi?
 
Tuseme ukweli bongo political consciousness imeshuka Sana. Siku hizo bajeti inajadiliwa na hakuna mwenye muda nao au kashfa ya sukari ya Bashe, hakuna mwenye muda nayo. Nadhani kizazi Cha tofauti na kipindi Cha 2010 Kuja 2015. Tulijikwaa wapi?.
 
Haya majangili ya mali za umma yanaloga mpk tunajisahau hata kujadili bajeti
 
Tuseme ukweli bongo political consciousness imeshuka Sana. Siku hizo bajeti inajadiliwa na hakuna mwenye muda nao au kashfa ya sukari ya Bashe, hakuna mwenye muda nayo. Nadhani kizazi Cha tofauti na kipindi Cha 2010 Kuja 2015. Tulijikwaa wapi?.
Uhuni aliotendewa Lowasa ulifanya Watu Wengi wakinai siasa

Ila kitendo Cha Halima James Mdee na wenzake kutinga bungeni kihuni na kuapishwa nje ya bunge kuliwafanya Watu Wengi kuamini Siasa na maigizo kama Futuhi tu
 
Hapa Tz, kizazi hicho kimebobea kwenye uchawa, singeli, vigodoro, kubeti, na visungura, wanabishana mpira kutwa mzima,
Huku nchi inaliwa, mtoto wa Madelu Nchemba Yuko Feza boys aje kuwa Waziri wa fedha 2050,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…