Majirani zetu Kenya wanahenyeshwa na kizazi Cha 1990s, Wabunge wako njia panda

Waandamanaji wa Kenya ninawaangalia hapa Citizen TV hakika ni vijana Wadogo Wadogo Watupu

Wabunge wameambiwa waamue kusuka au kunyoa Kwani safari ya kutafuta Kenya mpya ndio inaanza Rasmi Leo

Ni vijana Wadogo Wadogo kama akina Lucas huyu wa UVCCM 😂😂
Huyu huyu chawa kama Sophian juma?
 
Kizazi cha 80's sasa hapa bongo walivyo na roho mbaya na kupenda kujipendekeza ni hatari !!

Hao 90's wa kenya wamechukua notice kutoka kwa 80's
 
Waandamanaji wa Kenya ninawaangalia hapa Citizen TV hakika ni vijana Wadogo Wadogo Watupu

Wabunge wameambiwa waamue kusuka au kunyoa Kwani safari ya kutafuta Kenya mpya ndio inaanza Rasmi Leo

Ni vijana Wadogo Wadogo kama akina Lucas huyu wa UVCCM 😂😂
Usituingize vijana wote wa 90s kwenye kundi moja na huyo mwehu
 
Tuseme ukweli bongo political consciousness imeshuka Sana. Siku hizo bajeti inajadiliwa na hakuna mwenye muda nao au kashfa ya sukari ya Bashe, hakuna mwenye muda nayo. Nadhani kizazi Cha tofauti na kipindi Cha 2010 Kuja 2015. Tulijikwaa wapi?.
Eco

Kile kizazi cha wasomi cha 2007 kuja mpaka 2011 kilichokuwa kinaandamana pale UDSM Kilishakufa.

Viongozi walifanya kazi kubwa sana kuua ile hali ya kuhoji na kupandikiza uoga kwa wanafunzi wasomi ambao wengi wao walikuwa upinzani. Walikuwa wanapelekwa mpaka Polisi kutuliza ghasia sababu tu ya kuhoji vitu walivyoona si sawa.

sasa hivi kimebaki kizazi cha kila kitu ndio japo wachache wapo wanaohoji.
 
Waandamanaji wa Kenya ninawaangalia hapa Citizen TV hakika ni vijana Wadogo Wadogo Watupu

Wabunge wameambiwa waamue kusuka au kunyoa Kwani safari ya kutafuta Kenya mpya ndio inaanza Rasmi Leo

Ni vijana Wadogo Wadogo kama akina Lucas huyu wa UVCCM 😂😂
Hapa uvccm usiku wanageuka kuwa panyaroad na kukaba raia wema kukabiliana na ugumu wa maisha
 
View: https://www.youtube.com/watch?start=183&end=476&v=mDnjXh4rvbA&feature=youtu.be

Vijana wamewafuata polisi bila uoga wanawauliza "sisi ni kaka zenu, dada zenu, ndugu zenu tumewafanyia nini? hatuna silaha tunaandamana kwa amani kwanini mnatupiga? " Polisi baada ya kuona vijana wamechachamaa wakaamua kuondoka, nadhani polisi waliamua kuondoka baada ya kuona muda wowote chochote kinaweza kutokea kwani wananchi walishachefukwa, wamechukia na wapo tayari kwa lolote.
 
Asubuhi kuna maandamano ya kumsifia Samia,Simba na yanga huku watoto wao wakikaa chini kwenye mashule
 
View: https://www.youtube.com/watch?start=183&end=476&v=mDnjXh4rvbA&feature=youtu.be

Vijana wamewafuata polisi bila uoga wanawauliza "sisi ni kaka zenu, dada zenu, ndugu zenu tumewafanyia nini? hatuna silaha tunaandamana kwa amani kwanini mnatupiga? " Polisi baada ya kuona vijana wamechachamaa wakaamua kuondoka, nadhani polisi waliamua kuondoka baada ya kuona muda wowote chochote kinaweza kutokea kwani wananchi walishachefukwa, wamechukia na wapo tayari kwa lolote.

Vijana wa Kenya Siyo kama yule Joshua Nassari aliyelamba asali 😂😂😂
 
Tuseme ukweli bongo political consciousness imeshuka Sana. Siku hizo bajeti inajadiliwa na hakuna mwenye muda nao au kashfa ya sukari ya Bashe, hakuna mwenye muda nayo. Nadhani kizazi Cha tofauti na kipindi Cha 2010 Kuja 2015. Tulijikwaa wapi?.
nadhani mihemko, ghadhabu na kutukana matusi yale madogo na makubwa, kulichochewa na uelewa na ufahamu mdogo wa vijana ambao leo hii wameujua ukweli kuhusu masula ya siasa na maisha 🐒

wamebaini kwamba,
hakuna haki, uhuru wala usawa bila kuwajibika, hakuna maisha mazuri bila kufanya kazi kwa maarifa na bidii, hakuna wa kukuletea maendeleo ispokua wao wenyewe kujipambania ...🐒
 
Back
Top Bottom