Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Zungusheni ukuta mlima usionekane huku, vinginevyo tutaendelea kupiga hela kwa kutangaza watalii waje kuuona.....hehehe
Ukiwa mzembe jilaumu wenzako wakichangamkia fursa.
Mbona hampigi makelele gesi inaliwa na mabeberu, halafu madini yanachukuliwa mchana kweupe mumebaki mahandaki matupu.
Natamani wangeweka na pucha ya jiwe waseme kwamba jiwe is the first kenyan president
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hapana abaki huko huko.
Haha si mpakani when i was in primary school my teacher taught me that mt kilimanjaro is in kenya na ntaishi kujua ivyoUnajua Wakenya wengi mashuleni wamefundishwa mlima upo mpakani (for some reasons the GoK knows itself) kwahiyo wanaamini view hii haiwezi patikana ukiwa Tanzania wakati kuna a strip of btn 27 to 30 km btn the mountain and the border. All of the Rombo district, Same and part of Monduli and Sanya juu are located in the eastern side of the mountain from the arc from South to North. Mkomazi, Lake Chala, Kibaoni, Rongai, Kamwanga, Momella, Ngurdoto, Ol Moroc, Lendorossi and Arusha NP offer more best views!
And you agreed to be ignorant up to date!! Kuna Wakamba Tz nao ni Wakenya!! Tehe teheHaha si mpakani when i was in primary school my teacher taught me that mt kilimanjaro is in kenya na ntaishi kujua ivyo
Hahah so funnyAnd you agreed to be ignorant up to date!! Kuna Wakamba Tz nao ni Wakenya!! Tehe tehe
wakenya ni zaidi ya mazezeta, wanashindana na watu tunaojitosheleza kwa chakula miaka neda rudi wao wakijisifu ya uwekezaji wa beberu huku wakifa njaaAhaaa haaa haaa
Rudisheni zile hektari ambazo kina LORD Dalamare, Kenyatta at al ambazo wanalima maua na mirungi huku mkiwa na watu wakifa njaa huko Turkana.
mmpumbavu ni mpumbavu tuHaha si mpakani when i was in primary school my teacher taught me that mt kilimanjaro is in kenya na ntaishi kujua ivyo