Majirani zetu, mbona hatuwaelewi??

Majirani zetu, mbona hatuwaelewi??

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,715
Reaction score
2,385
tapatalk_1554014132831.jpeg

tapatalk_1554014125511.jpeg

tapatalk_1554014115128.jpeg
 
Unajua Wakenya wengi mashuleni wamefundishwa mlima upo mpakani (for some reasons the GoK knows itself) kwahiyo wanaamini view hii haiwezi patikana ukiwa Tanzania wakati kuna a strip of btn 27 to 30 km btn the mountain and the border. All of the Rombo district, Same and part of Monduli and Sanya juu are located in the eastern side of the mountain from the arc from South to North. Mkomazi, Lake Chala, Kibaoni, Rongai, Kamwanga, Momella, Ngurdoto, Ol Moroc, Lendorossi and Arusha NP offer more best views!

mount-kilimanjaro-map.jpg
 
We don't even want you to understand us. You will begin devouring us like you do for people living with Albinism...... Acha tujuane tu na mbwa mwitu
 
Sielewi inakuwaje wewe mwenyewe ndio utafute vitu vya ajabu ajab kwenye mitandao alafu bado inakuuma. Ila sisi wakenya huwa tunawaelewa sana. Ndio maana nyinyi na Mwigulu Nchemba wenu 'mkiiba' (watz huwa wanapenda sana kusema mmeiba, mmetuibia 😀) SGR yetu huwa tunawaambia Mungu anawaona tu, kisha yanaishia hapo.
img_20190121_103408-jpeg.1000964
 
Zungusheni ukuta mlima usionekane huku, vinginevyo tutaendelea kupiga hela kwa kutangaza watalii waje kuuona.....hehehe
Ukiwa mzembe jilaumu wenzako wakichangamkia fursa.
Mbona hampigi makelele gesi inaliwa na mabeberu, halafu madini yanachukuliwa mchana kweupe mumebaki mahandaki matupu.
 
Ahaaa haaa haaa
Rudisheni zile hektari ambazo kina LORD Dalamare, Kenyatta at al ambazo wanalima maua na mirungi huku mkiwa na watu wakifa njaa huko Turkana.
 
img_20190326_230024-png.1054871
Yaani watani wetu tayari 'mmeshatuibia' hadi na Lupita Nyong'o! Wakati 1Lupita=AY+Prof Jay+Sugu+Jiwe+Diamond..... Hii ni zaidi ya hujuma! 😀 Watz mna roho mbaya sana. Hahaha! 😀
 
Unajua Wakenya wengi mashuleni wamefundishwa mlima upo mpakani (for some reasons the GoK knows itself) kwahiyo wanaamini view hii haiwezi patikana ukiwa Tanzania wakati kuna a strip of btn 27 to 30 km btn the mountain and the border. All of the Rombo district, Same and part of Monduli and Sanya juu are located in the eastern side of the mountain from the arc from South to North. Mkomazi, Lake Chala, Kibaoni, Rongai, Kamwanga, Momella, Ngurdoto, Ol Moroc, Lendorossi and Arusha NP offer more best views!

mount-kilimanjaro-map.jpg
Haha si mpakani when i was in primary school my teacher taught me that mt kilimanjaro is in kenya na ntaishi kujua ivyo
 
Ahaaa haaa haaa
Rudisheni zile hektari ambazo kina LORD Dalamare, Kenyatta at al ambazo wanalima maua na mirungi huku mkiwa na watu wakifa njaa huko Turkana.
wakenya ni zaidi ya mazezeta, wanashindana na watu tunaojitosheleza kwa chakula miaka neda rudi wao wakijisifu ya uwekezaji wa beberu huku wakifa njaa
 
Back
Top Bottom