Majizo, Kusaga na Regina watumie njia gani nyingine ili wamuangushe Diamond na kundi lake? Kwanini wanashindwa? Tuwasaidie

Studio zipi hizo? kusalimia kwa heshima kunakuwaje?
Bro nimeiona YouTube hata sijui studio ipi, kusalimia kwa heshima kumuonesha mzee kuwa wewe ni mwanawe na yeye mzee kwako. Ukipata nafasi pitia YouTube tafuta diamond akutanishwa na baba yake. Utanielewa ukishaona


Nangatukaa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Dawa Ni kumuua diamond tu ...

Kama hawezi hilo basi Ni kazi Sana yule mtoto Ana upepo was Hatari sana
Aiseee kwa hiyo hakuna njia nyingine wanawea tumia zaidi ya kumuua?
 
Bad Competitors....!

Hatahivyo, sikujua kama Rich Mavoko bado yupo WCB
 
Diamond alinitoka siku ile aliokuwa akimsalimia dingi wake studio, yaani mzee kajishusha lakini dogo hata heshima imemruka.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Alimsalimiaje?
 
Kusaga ndio boss wa domo. Domo hajajifikisha hapo alipo bila Marehemu Ruge na Kusaga
 
Alimsalimiaje?
Mkuu ingia YouTube angalia diamond akutanishwa na baba yake. Sijui kwa wengine watachukulia vipi lakini mie siwezi kumdharau mzee wangu vile. Background yao siijui lakini diamond yupo anarusha virasta vyake tuu.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Youtube,insta et al,bado unategemea radio imuinue ama kumuangusha mtu ?Hiyo ilikuwa kabla ya 2014 Kabla mchina hajaleta smartphones
Hiyo ndiyo point hata wao wanalijua hilo ila hata hivyo diamond alikuwa kashaanza kucheza league na Davido na Wizkid lakini kwa sasa hata category moja ya nomination huwezi kuwaweka. Inshort diamond kashuka na WCB imebakia kuwa ya East Africa maana hata zile nomination na ushindi wa Ray vanny kwa platform Kama Mtv na BET ni hakuna.

Kwa maneno mengine Diamond na WCB Kama brands hazipo katika level zilizostahili kuwa. hawajafeli ila wameshuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…