Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
Hawajuiandika tena ulicho kusudia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajuiandika tena ulicho kusudia
Karibu JF
Bro nimeiona YouTube hata sijui studio ipi, kusalimia kwa heshima kumuonesha mzee kuwa wewe ni mwanawe na yeye mzee kwako. Ukipata nafasi pitia YouTube tafuta diamond akutanishwa na baba yake. Utanielewa ukishaonaStudio zipi hizo? kusalimia kwa heshima kunakuwaje?
Ataanguka mwenyewe wakati ukifika,ila mbona kimataifa kishaanguka ukimlinganisha na DavidoHivyo vyote havijaweza na haviwei kuchukua nguvu ya media ........
Tuwasaidie maboss wetu watumie njia gani ili huyu kijana aanguke kabisa asinyanyuke...
mara nyingi celebrity hujitengenezea mwenyewe anguko lake na si kuangushwa na wapinzani wake uchwara.hahahahaha huduma ya internet ni mali ya serikali hilo hawataweza
Alimsalimiaje?Diamond alinitoka siku ile aliokuwa akimsalimia dingi wake studio, yaani mzee kajishusha lakini dogo hata heshima imemruka.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Jf mi SI mgeni angalia ni lini nimejiungaNi kweli kabisa mjukuu wangu karibu jf
Mkuu ingia YouTube angalia diamond akutanishwa na baba yake. Sijui kwa wengine watachukulia vipi lakini mie siwezi kumdharau mzee wangu vile. Background yao siijui lakini diamond yupo anarusha virasta vyake tuu.Alimsalimiaje?
Hiyo ndiyo point hata wao wanalijua hilo ila hata hivyo diamond alikuwa kashaanza kucheza league na Davido na Wizkid lakini kwa sasa hata category moja ya nomination huwezi kuwaweka. Inshort diamond kashuka na WCB imebakia kuwa ya East Africa maana hata zile nomination na ushindi wa Ray vanny kwa platform Kama Mtv na BET ni hakuna.Youtube,insta et al,bado unategemea radio imuinue ama kumuangusha mtu ?Hiyo ilikuwa kabla ya 2014 Kabla mchina hajaleta smartphones