Majizo, Kusaga na Regina watumie njia gani nyingine ili wamuangushe Diamond na kundi lake? Kwanini wanashindwa? Tuwasaidie

Majizo, Kusaga na Regina watumie njia gani nyingine ili wamuangushe Diamond na kundi lake? Kwanini wanashindwa? Tuwasaidie

Na kwa sasa hatutaweza pata mtu aliewaunganisha wasanii wakawa wanasikika karibia wote na kutoboa kimafanikio kama wakati Ruge yupo ulikua unaweza msikia Mwasiti katoa wimbo, Chege katoa wimbo, Shilole, Ney wa mitego na zikawa zote zinafanya vizuri na kualikwa kufanya show kila mahali lakin wakati huu watasikia wcb tu hata watoe mabata madogo hutaweza sikia wimbo unahit zaid yao ndipo tunasema bongo music inapotea
Kama ambavyo unakubali kuna aliyefanya mwasiti na chege wakafanya vizuri, unatakiwa ujue yupo anaefanya wcb watambe kila kona east Africa
 
thanks but re read the thread......
I HAVE READ THE THREAD THRICE STILL DONT GET THE AIM OF THIS AINT POSITIVE IS TOTALLY NEGATIVE, ITS NOT CONVINCING TO BE PROGESSIVE IN HUMAN WELLBEING, ONLY BEEFING IS YOUR SOLUTION ON DIFFERENT THINGS.
 
Back
Top Bottom