Majizo na EFM Radio yako huu Utangazaji wa Kinafiki na Majungu wa Watangazaji Maulid Kitenge na Twalib Muwa utaiponza Radio yako

vumilia ndugu yangu.
 
Prisca Kishamba, Yahaya Njenge na Edgar Kibwana ni wana Yanga SC lia lia ila kamwe wakiwa Hewani hutowasikia Wakitangaza Kimahaba kama hawa Wapuuzi Wawili Maulid Kitenge na Twalib Muwa wa Sports Headquarters ya EFM Radio.

Tumewachoka.
Edgar ni Simba damu kabisa hapo umechanganya
 
Kumbe Prisca ni shabiki wa mnyama, sikuwa nafahamu hilo, na hivyo ndivyo wengine wanatakiwa kuwa, sio makelele redioni kama watoto wadogo..
Huna Akili ni wapi nimesema kuwa Prisca Kishamba ni Shabiki wa Simba SC?

Hivi hakuna mahala katika huu huu Uzi nimesema kuwa Prisca Kishamba, Yahaya Njenge na Edgar Kibwana ni Mashabiki wa Yanga SC ila wakiwa Hewani huwa hawatangazi Kimahaba kama ilivyo kwa hawa Wapuuzi wenzako Wawili Maulid Kitenge na Twalib Muwa?

Hopeless mkubwa Wewe.
 
Jemedar saidi na wenzake mbona haukuwataja km na wao hawana weledi kwenye kazi yao maana wao kila siku wana deal na mambo ya yanga tu tena yenye lengo baya?
Hopeless kuna Mtu amekuzuia nawe Kuanzisha Mada ya Kuwahusu hawa Watangazaji wako Wawili uliowataja hapa?
 

Yaan biased kishenz Yaan umeshindwa kumuongelea jemedar kapara kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…