Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi.
Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa YouTube Kenya
Kabla ya kufunga mwaka Playlist yako ni ipi??
Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa YouTube Kenya
Kabla ya kufunga mwaka Playlist yako ni ipi??