Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
ππ kila mtu na vibe yake mkuu, tupe na wewe list yako tuishi nayo leo tukisubiri mwaka mpya 2025ukitaka kujua kila mtu ana miziki yake ati hapo kuna miziki hata siijui..!π
Licha ya kunyimwa tuzo ila ukweli utabaki kuwa Mbosso Khan ni msanii mkali sana π₯Huu mwaka msanii bora kwangu ni Mbosso, amekiwasha sana.
Mbosso anaandika na kuimba, anajua.
Nahitaji ya Majizzo sio ya Pascal Vitalis0711 123 456
Utaziweza nyimbo za hawa vijana?ukitaka kujua kila mtu ana miziki yake ati hapo kuna miziki hata siijui..!π
mi utanionea bure mi kwenye muziki nipo tofauti sana!, yani sieleweki naweza hata kupenda nyimbo za mwaka 2000 huko nakuziona kama zimetoka leo!.ππ kila mtu na vibe yake mkuu, tupe na wewe list yako tuishi nayo leo tukisubiri mwaka mpya 2025
nafikiri ni akili ya mtu tu, maana mi mwenyewe kijana lkn napenda zaidi nyimbo za zamani!U
Utaziweza nyimbo za hawa vijana?
Yani sikuhizi hata vile viwanja classic wanapiga nyimbo za kipuuzi tu mpaka unajutia muda na hela yako
π sio mbaya mkuu, hizi pia zinaturudisha kwenye kumbukizi ya miaka ya nyuma.mi utanionea bure mi kwenye muziki nipo tofauti sana!, yani sieleweki naweza hata kupenda nyimbo za mwaka 2000 huko nakuziona kama zimetoka leo!.
mfano sasahivi napenda sana nyimbo za aaliyyah yule mwanadada mmarekani aliefariki kitambo!, naweza sema mwaka huu yeye ndio nimesikiliza nyimbo zake zaidi kushinda msanii yoyote kwa mwaka huu!.
View attachment 3189361 wimbo kama huu nani atakuelewa kwamba ni wimbo mzuri!, lakini kaka wa watu ndo inanilaza hiyo!..π€£
tena kama hii ndo inanifanya naota kabisa!
View attachment 3189364
Kwa hapa bongo labda nitoe list ya nyimbo tano kwa ngoma zilizotoka mwaka huu nazozikubali.
Mario - yule remix
Mario - hakuna matata
mapozi remix
mkuu naishia hizo kwanza mpk nikaangalizie...π€£
πππππππ€£π€£π€£ukitaka kujua kila mtu ana miziki yake ati hapo kuna miziki hata siijui..!π
Hamna habari ya kufungia mwaka..Huu mwaka msanii bora kwangu ni Mbosso, amekiwasha sana.
Mbosso anaandika na kuimba, anajua.
Yaah huyu dogo anaandika sana aiseee.Huu mwaka msanii bora kwangu ni Mbosso, amekiwasha sana.
Mbosso anaandika na kuimba, anajua.
Nimecheka sana. Ngoja tuone kama chanzo kitatubless, nimeshawasilisha ombi.Hamna habari ya kufungia mwaka..
Mbosso anaandika mno, na kuimba live anajua kuliko yeyote pale Wasafi.Yaah huyu dogo anaandika sana aiseee.
Kwa mtu anaependa kusikiliza basi mboso ni chaguo sahihi. Hapigi kelele na kurudia maneno wimbo mzima.
Tupate vionjo vionjo ....... Na hapa katikati Kuna mengi yametokea hasaNimecheka sana. Ngoja tuone kama chanzo kitatubless, nimeshawasilisha ombi.