Majizzo kiboko kaja na speaker zake Kali

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐— ๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐—ฟ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ



Hatimaye mkurugenzi na muanzilishi wa media Efm na ETV nchini tanzania mfanyabiashara Majizzo amefanikiwa kupiga hatua kwa kuweza kuleta speaker zake nzuri ๐Ÿ”Š.



Majizzo ameamua kuleta speaker izo ambazo zenye kutumia teknolojia ya Bluetooth kuweza kukupatia burudani wakati unasikiliza.



Zinaitwa jizo Bluetooth speaker ambazo zimetoka za aina tatu tofauti tofauti ๐Ÿ‘‡
โ€ข jizo - 4
โ€ข jizo - 6 na
โ€ข jizo - 8



Mdundo wake usipime ni zaidi ya Jbl ๐Ÿ˜
Tunaweza sema JIZO ni mshindani wa JBL ๐Ÿ‘‹

#bongotech255 #jizosound #majizzo #teknolojia #fahamuzaidi
 

Attachments

  • 5_20241105_210846_0004.png
    2.1 MB · Views: 10
Kuweka brand yako kwenye bidhaa toka nje isn't really an achievement. Watu wanaweka brand names zao kwenye nguo, viatu, pikipiki, mafuta nk. Hizi zote zinakuja shindana in an already saturated market kwa wateja wenye limited disposable income.

Wabongo ni muda wa kufikiria kuongeza thamani bidhaa za ndani na kuuza ndani na nje ya nchi especially kwa watu wenye connection na uwezo kiasi. Bongo Kuanzia GSM hadi mtu wa kawaida kabisa wote wanashindana kuuza nguo na bidhaa hizi hizi toka China na Turkey, tutafika kweli? Yet kuna uhaba wa dola nchini, zitoke wapi? Hapo ukitoa brand name yake hamna cha maana alichofanya.
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ