Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hongera kwa kuthubutu......mdogo mdogo tutafika.๐ ๐ฎ๐ท๐ถ๐๐ผ ๐ธ๐ฎ๐ท๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฝ๐ฒ๐ฎ๐ธ๐ฒ๐ฟ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ
View attachment 3144612
Hatimaye mkurugenzi na muanzilishi wa media Efm na ETV nchini tanzania mfanyabiashara Majizzo amefanikiwa kupiga hatua kwa kuweza kuleta speaker zake nzuri ๐.
View attachment 3144613
Majizzo ameamua kuleta speaker izo ambazo zenye kutumia teknolojia ya Bluetooth kuweza kukupatia burudani wakati unasikiliza.
Zinaitwa jizo Bluetooth speaker ambazo zimetoka za aina tatu tofauti tofauti ๐
โข jizo - 4
โข jizo - 6 na
โข jizo - 8
View attachment 3144614
Mdundo wake usipime ni zaidi ya Jbl ๐
Tunaweza sema JIZO ni mshindani wa JBL ๐
#bongotech255 #jizosound #majizzo #teknolojia #fahamuzaidi
Mitano tena, 4R