University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
VictoireHuyo ana UKIMWI uliosababishwa na HIV. Ni kawaida sana ukitumia ARV kwa muda mrefu huwa zinasababisha kugaribika kwa organs. Ndo maana figo zimefeli. Pia inawezekana pamoja na kutumia ARV bado alikuwa anafanya ngono zisizo salama na wanawake tofauti tofauti,hivyo alikuwa anapata re infections.
Nilisikia ni ya kusaga,though ni story zs mtaa tu hizo.
Sinilisikia kuwa ana HISA 3 mzuka ... ina maana mihela yote ile wanayo jifanya kugawa gawa kwa washindi " Ameshindwa kuchukua hata Faida ya walichokuwa wanakiingiza kwaajili ya kumpatia matibabu kweli !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kweli watakuwa wame bankruptItakuwa ilichukuliwa..3 mzuka siku hizi hawana zawadi za pesa nyingi...kampuni itakuwa haina pesa..we kutoka million 300 za kumpa mtu mpaka mshahara wa lak 5 mwaka mzima mchezo?
Sindio hapo sasaMi nashangaaa hawasemi nini kinahitajika! Kama ni FIGO waseme! Kama ni pesa waseme Kiasi gani kinahitajika, sio anatumia 5-6m kwa Siku!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wame tugeuza ng'ombe wa maziwa haoHawataki zao zitumike, wanataka zitumike zetu tu walala hoi.
Wewe utajiri unauchukuliaje?Hahaha nilicheka that day ...tajiri akaagiza kwenda kushonewa sendozi ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tunaita ramliUnaweza kuta tunawasingizia tu,kumbe co. ni za wahindi tu wabongo tunaishia kupigwa sound eti za wabongo,hahah.
Kwa mwendo huu utakuta hata ya Clouds sio ya Kusaga labda inamilikiwa hata yule mbunge aligonga punda hahah.
Sisi makapuku tujitibie wenyewe mkuu.Hiyo Million 600 angeenda India si angepona kabisa maana kule kuna maprofessional kabisa.
Kwaio na Mimi nikiumwa nitachangiwa?
Au michango kwa ajili ya Akina watu kama RUGE MUTAHABAZ.
Ni ya prof. Mmoja wa UD pale.Nilisikia ni ya kusaga,though ni story zs mtaa tu hizo.
Very rare kusikia prof. mwenye akili za biashara hapa Bongo.
Sio dingi yake..ni prof Mangi mmoja hivi...ndio Kama hivyo akili mingi jamaa wanampa promo kama yao..huyo mzee ndio biashara zake za bar na clubs...sema viota vyake viko affiliated na wakuu siwezi Sema Sana.Very rare kusikia prof. mwenye akili za biashara hapa Bongo.
Lkn dingi Ruge nae si ni prof. hapo UD?