Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Hiyo Million 600 angeenda India si angepona kabisa maana kule kuna maprofessional kabisa.
Kwaio na Mimi nikiumwa nitachangiwa?
Au michango kwa ajili ya Akina watu kama RUGE MUTAHABAZ.
 
Huyo ana UKIMWI uliosababishwa na HIV. Ni kawaida sana ukitumia ARV kwa muda mrefu huwa zinasababisha kugaribika kwa organs. Ndo maana figo zimefeli. Pia inawezekana pamoja na kutumia ARV bado alikuwa anafanya ngono zisizo salama na wanawake tofauti tofauti,hivyo alikuwa anapata re infections.
Victoire
We we ni daktari wake au ni mwandani wake mgonjwa?! Unaonekana maandiko yako ni ya MTU anayejiamini sana.
 
Itakuwa ilichukuliwa..3 mzuka siku hizi hawana zawadi za pesa nyingi...kampuni itakuwa haina pesa..we kutoka million 300 za kumpa mtu mpaka mshahara wa lak 5 mwaka mzima mchezo?
Sinilisikia kuwa ana HISA 3 mzuka ... ina maana mihela yote ile wanayo jifanya kugawa gawa kwa washindi " Ameshindwa kuchukua hata Faida ya walichokuwa wanakiingiza kwaajili ya kumpatia matibabu kweli !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa ilichukuliwa..3 mzuka siku hizi hawana zawadi za pesa nyingi...kampuni itakuwa haina pesa..we kutoka million 300 za kumpa mtu mpaka mshahara wa lak 5 mwaka mzima mchezo?
Aisee kweli watakuwa wame bankrupt
 
Unaweza kuta tunawasingizia tu,kumbe co. ni za wahindi tu wabongo tunaishia kupigwa sound eti za wabongo,hahah.

Kwa mwendo huu utakuta hata ya Clouds sio ya Kusaga labda inamilikiwa hata yule mbunge aligonga punda hahah.
Hii tunaita ramli
 
Very rare kusikia prof. mwenye akili za biashara hapa Bongo.

Lkn dingi Ruge nae si ni prof. hapo UD?
Sio dingi yake..ni prof Mangi mmoja hivi...ndio Kama hivyo akili mingi jamaa wanampa promo kama yao..huyo mzee ndio biashara zake za bar na clubs...sema viota vyake viko affiliated na wakuu siwezi Sema Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom