Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
WASANII NA SANAA . TUWAUNGE NDUGU ZETU HAWA. SOTE TUNATEGEMEA SANAAMungu amrehemu Ruge Mutahaba, asingekaa kimya muziki ukishambuliwa hivi. Yeye aliwapeleka wasanii kwenye show za Ikulu na CCM, lakinia bado wakitoka walikuwa wanaendelea na muziki kwa sababu taifa linahitaji muziki nyakati zote.
Sisi tulio hai, tufanye wajibu huu kwa uaminifu na uzalendo. Tulinde muziki wetu uzidi kukua mbele ya muziki toka nje.
View attachment 3514161
Simjio Majizo mwambie apeleke rubbish huko ccmMungu amrehemu Ruge Mutahaba, asingekaa kimya muziki ukishambuliwa hivi. Yeye aliwapeleka wasanii kwenye show za Ikulu na CCM, lakinia bado wakitoka walikuwa wanaendelea na muziki kwa sababu taifa linahitaji muziki nyakati zote.
Sisi tulio hai, tufanye wajibu huu kwa uaminifu na uzalendo. Tulinde muziki wetu uzidi kukua mbele ya muziki toka nje.
View attachment 3514161
Wakale walikopeleka mboga. Badi team za simba na yanga, naI watu wanatakiwa waendelee kupungua viwanjanj hivi hivi.WASANII NA SANAA . TUWAUNGE NDUGU ZETU HAWA. SOTE TUNATEGEMEA SANAA
Wasanii wa Nje hapa watatufaa zaidiWASANII NA SANAA . TUWAUNGE NDUGU ZETU HAWA. SOTE TUNATEGEMEA SANAA
Mkuu unajua CCM bado wapo kwenye Chama kimoja kama China au Russia ndiyo maana mtu yoyote awe Msanii mtumishi wa umma, Mfanyabiashara akijaribu kujiunga na vyama vya Upinzani anaoneka adui wa nchi anatumiwa na Wazungu, Siasa zetu zinatakiwa zitoke huku tulipo, Katiba hii ni ya Chama kimoja ilitengenezwa kwenye mifumo ya Dora ya Chama kimoja, Tofauti na Ghana, Kenya, Nigeria, hizi nchi Wananchi wapo huru na Wasanii na watu mashuhuri wapo huru kuchagua upande wa kufanya Siasa, kwa Tanzania ni tofauti ili Mambo yako yaende inakubidi uwe upande wa CCM, mfano Dainamo akiamua kuipigia lampeni Chadema na mwisho wa siku CCM wakashinda lazima Daimond atasumbuliwa kwenye Mambo yake binafsi ya kiuchumi na Maisha ya kila siku, ndiyo Maana Wasanii wanajipendekeza kwa watala ili mambo yao yaende ata wakifanya makosa polisi waogope kuwachukulia sheria, Polisi wakiona Msanii au mfanyabiashara kakaa Meza moja na Rais au kapiga picha na Raisi tu, Polisi wanaingia hofu kwa kujua itapigwa simu kutoka juu.Mimi nawalaumu ccm.wao ndo wamewagawa wasanii.yaani msanii akienda upinzani KOSA .NDO MAANA WASANII WANAOGOPA.
kuwe huru msanii aende chama chochote anachotaka