Majogoo wa mbegu wanauzwa

Majogoo wa mbegu wanauzwa

Kine3

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
331
Reaction score
175
Majogoo wekundu chotara wana umri wa miezi mitano wanauzwa, wasiliana nami 0715714234
 
Majogoo wekundu chotara wana umri wa miezi mitano wanauzwa, wasiliana nami 0715714234

Sasa wewe hao majogoo ni breed gani? Pili kama kweli unahitaji kufanya biashara picha ni kitu muhimu sana. Hii itasaidia kuleta hamasa.
 
Ni machotara ya kuku wa kienyeji na majogoo ya Rhode Island Red
 
Nipigie simu tutaongea bei.
 
Upo wapi?

Mie natafuta pure Rhode Island Red jogoo
 
Kwa uchunguzi wangu majogoo hawatoi mbegu bali rangi mtetea ndio mbegu.
 
Tangazo lako la biashara halijitoshelezi. Weka picha, bei, wanapatikana wapi.Weka mambo hadharani. Mambo ya kupigiana simu yametoka wapi?
 
africando nakupongeza sana maana hata mimi nimeshindwa kumuelewa huyo jamaa anamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom