KERO Majohe maduka sita darajani kalavati ni dogo maji yanajaa kwenye nyumba za watu

KERO Majohe maduka sita darajani kalavati ni dogo maji yanajaa kwenye nyumba za watu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
May 2, 2026
Posts
64
Reaction score
55
Habari

Mkoa wa Dar es salaam, Wilaya ya Ilala, eneo linaitwa Majohe maduka sita
ukiwa Gongo la mboto unapitia njia ya chuo cha Kampala kama unaenda chuorada kuna kituo kinaitwa maduka sita kua kalavati limewekwa dogo mvua ikinyesha kidogo tu maji yanajaa kwenye majumba ya watu kiukweli ni mateso sana serikali tunaomba hii el nino inakuja muliweke sawa tafadhari hali inatisha.

Maji yanakwama mkandalasi aliyejenga kipindi hicho sijui alizingatia nini tusaidiane kupaza sauti wenye mamlaka wasikie.

Barabara hii ni kubwa sio barabara ndogo
 
Nendeni zilipo ofisi za Tarura Wilaya ya Ilala, watawasaidieni

Japo Taasisi nyingi za Serikali zinalia ukata kwenye fedha za maendeleo
 
Back
Top Bottom