Majoho UDOM

Mgoyangi

Senior Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
184
Reaction score
9
jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani
 
Mwenzangu ngoja tuone maana udom management hakuna bali kuna figure zilizokwenye management hawa wazushi wanaweza kufanya hivyo kweli kwani wana maana!!
 
Si bora ukanunue la kwako. Udom sasa mmezidi. Kila kukicha udom, ina maana management ya udom hawana aibu kila siku kusemwasemwa.
 
hii management haina macho, na elimu yao ni ya kweny makaratac, kila kukicha badala ya kutatua tatzo moja wanajkuta wanatumbukia kwny lingne, We uliza tu usajili saiv unavyofanyika pale Jamhur Stadium, yaani watu wanakua kama vchaa
 
Wale watoto wavivu sana,wanawafanyisha mazoezi kumudu hali ya usafiri na uchotaji maji umbali mrefu.
 
sio uvivu ila ni utaratbu mbovu uliowekwa usiokidhi utoaji huduma kwa idadi ya watu waliopo.
 
Jibu lako lipo kitaalamu zaidi,na pale hayo mawazo hakuna.

lakin wanaofanya hyo shughul wana elimu ya kutosha na zaid ni wao wenyewe ndio wanaofundisha 'management' sasa kwann hawatumii elimu hyo walionayo katika kufundsha
 
jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani

Nimegraduate juz 2 at college of informatics ila hizo tetec sijazisikia mi najua tunalipia 30000
 
ka mliweza kumchangia mkulu hela ya kuchukua fomu kwa nini mshindwe hela ya joho linalowahusu,ukiona umeshindwa kabisa sio lazima kukodi
 
Udom ni Mradi wa ccm lazim a wavune kwa njia nyingi nimeshangazwa sana na utaratibu wa kulipa kila kitu kinachoratibiwa na utawala sasa ada ni ya nini? Suluhisho kodisheni yenu wenyewe!
 
jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani

Unaweza ku-graduate bila joho. Haita-athiri elimu na hadhi ya degree yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…