Majoho UDOM

Majoho UDOM

du!! hilo balaa sasa udom ovyooo kabisa! lakini mkulu wa kaya c yupo atawasaidia alipe fadhilra c alichangiwa hela za kuchukua fom
 
Hakuna cha laki wala nn mi najua 26 nov 2011 nagonga joho kwa 30000/= bila nogwa
 
Laki?? Hii ye sifuri tano?? Haiwezekani hata ingekua ni kupewa u prof,degree zenyewe za kichina, course work jamatini,UE 84
 
Udom ni kama gari bovu linaloendeshwa na kichaa aliyelewa. Mambo shaghalabaghala.
 
ka mliweza kumchangia mkulu hela ya kuchukua fomu kwa nini mshindwe hela ya joho linalowahusu,ukiona umeshindwa kabisa sio lazima kukodi

Napata wasiwasi na utu uzima wako.Hivi umeuliza ukapata eleweshwa juu xa tamko lako?Embu acha kuchanganya mada,hutaki kuzungumza juu ya hilo angalia thread zingine huchangie!
 
Mwambieni yule mle mchanga form ya urais awarudshe then mlpe

Nani?Uwe mwepesi wa kupambanua mambo,hiv unadhan ndo wanafunzi wote wamechanga?Mizengwe tu ile kuonesha UDOM inaikubali CCM,lakini ukitaka kuamin kua CCM haikubaliki njoo umevaa vazi la kijani na njano yao uone halafu siku nyingine tinga na gwanda la kikomando la khaki uone!
 
Mkuu binafsi hizo taarifa sijazisikia na ukumbuke tukiwa first tulitoa hela ya graduu so ndio hyo itakayotufanya tuvae Joho
 
Wahitimu wa shahada ya kwanza wanalipa 45,000. 20,000 inarudishwa baada ya hapo..
 
duh!!!!!!!!!!!!!hilo joho lilikusaidia na kuelwa darasanii, linakulipa mshahara na bluetooth, wirelesss, choo, linachumba????????????????????wezi hao.Akili za mbayuwayu changanya na zako
 
sishangai mambo ya udom hayo.
mwaka jana tulitozwa 40000 tukaambiwa ukirudisha utarudishiwa 20000 tuliacha akaunti hadi leo sijawahi lipwa na wengi ndivyo wanavyodai. Sasa sitashangaa hayo na usiejua udom yapo zaidi ya hayo yatakapolipuka utajua kama iko kama taasisi ya serikali ama inatumiwa vingine pia
 
jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani
mi naona ingekuwa sahihi kama baada ya kukodisha ukirudisha wanakupa na ajira
 
jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani

Kabla sijaandika hii comment, niliamua kuutafuta ukweli wa taarifa hii kwenye website ya
udom, na hiki ndo kipande nilichokipata kuhusu majoho (copied & pasted without editing)

"Participation in the Graduation Ceremony:
 Graduands should confirm their intention to participate between 1st to 15th November 2011 through their respective School Deans. All Masters and PhD graduands should confirm through the Directorate of Graduate Studies.
 Graduands should confirm by paying TShs. 45,000/= of which TShs. 25,000/= is a non-refundable gown hiring charge and TShs. 20,000/= is a refundable deposit. The deposit will be refunded when the gown is returned.
 Payment must be made through CRDB Bank Ltd, Account:
UDOM Central Administration (CRDB) - 0150221567400. Bank deposit slips should be submitted during gown collection from the respective Colleges. NOTE that late confirmation will not be accepted.
 
 The gowns shall be collected from the respective Colleges from 10 a.m. on 22
nd to 24th November 2011. All gowns should be returned before the end of the fifth day after the graduation ceremony. A penalty of Tshs. 10,000/= per day will be levied for late return of the graduation gown".


Mkuu hiyo laki na nusu as gown hiring charge ndo ipi? Usijaribu kudanganya mkuu, kama huna cha kuandika kaa kimya ,,, jdj
 
Labda baada ya hapo unalichukua....yaani si kulikodi tena bali unalinunua....ha ha ha!Ila hata kama unalinunua linaonekana liko ghali...
 
Graduation hii unatakiwa ulipie 45,000/= then tunarudishiwa 20000/= baada ya gradution ila sijajua inarudishwa kwa njia gan!!!
 
Kwani ukiamua kutohudhulia mahafali alafu uchukue chet chako na usepe unadhulika nini?
 
Back
Top Bottom