MALI YA BABA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 459
- 119
jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani
ka mliweza kumchangia mkulu hela ya kuchukua fomu kwa nini mshindwe hela ya joho linalowahusu,ukiona umeshindwa kabisa sio lazima kukodi
Mwambieni yule mle mchanga form ya urais awarudshe then mlpe
mwaka jana tulitozwa 40000 tukaambiwa ukirudisha utarudishiwa 20000 tuliacha akaunti hadi leo sijawahi lipwa na wengi ndivyo wanavyodai. Sasa sitashangaa hayo na usiejua udom yapo zaidi ya hayo yatakapolipuka utajua kama iko kama taasisi ya serikali ama inatumiwa vingine piasishangai mambo ya udom hayo.
mi naona ingekuwa sahihi kama baada ya kukodisha ukirudisha wanakupa na ajirajamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani
jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani