The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Majonzi! Baba wa Watoto Wanne Atekwa, Kupotezwa na Watu Waliokuja na Landcruiser Nyeupe
Manase Daniel Batwenga (39) ni mfanyabiashara wa vipuri huko mjini Kigoma, alitekwa na kupotezwa mnamo Februari 10, 2025. Watu wenye silaha, ambao hawakujitambulisha walifika ofisini kwake wakiwa na Landcruiser nyeupe, wakamkamata na kutokomea naye kusikojulikana.
Manase ameacha mke wake akiwa mjamzito pamoja na watoto wanne.