PreGE2025 Majonzi! Baba wa Watoto Wanne Atekwa, Kupotezwa na Watu Waliotumia Landcruiser Nyeupe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Majonzi! Baba wa Watoto Wanne Atekwa, Kupotezwa na Watu Waliokuja na Landcruiser Nyeupe

Manase Daniel Batwenga (39) ni mfanyabiashara wa vipuri huko mjini Kigoma, alitekwa na kupotezwa mnamo Februari 10, 2025. Watu wenye silaha, ambao hawakujitambulisha walifika ofisini kwake wakiwa na Landcruiser nyeupe, wakamkamata na kutokomea naye kusikojulikana.

Manase ameacha mke wake akiwa mjamzito pamoja na watoto wanne.


Your browser is not able to display this video.
 
Mtekaji tushamjua ni lijimama kimoja lenye macho kama chura ๐Ÿธ ๐Ÿธ ๐Ÿธ ๐Ÿธ
 
Im
Manase ameacha mke wake akiwa mjamzito pamoja na watoto wanne.
Ifike mahali magari yote ya serikali yaandikwe namba halisi na idara zake kwenye bodi kwaajili ya kutambuliwa
 
Aisee inasikitisha sana sasa huko kigoma jamaa wana madhara gani mpaka wauawe aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ