Majonzi, vilio vyatawala mwili wa Dereva wa Heche ukiwasili Tarime

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Asubuhi ya Julai 4, 2026, mwili wa aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara John Heche, marehemu Suez Dani Maradufu umewasili katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime (Bomani) kwa ajili ya kuhifadhiwa.

Mwili huo umepokelewa kwa vilio na simanzi na ndugu, jamaa, marafiki, pamoja na wanachama na wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza kupokea mwili.

Your browser is not able to display this video.
 
Bila shaka ni ziara ya Urusi ya muimba taarab wa zamani Abdul Misambano ndiyo imeanza kutoa matokeo.

Poleni sana wafiwa
 
Siku zake zimekwisha πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…