ErlangB
Member
- Feb 25, 2021
- 88
- 99
He is not even an engineer....Nahisi ni civil engineer huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He is not even an engineer....Nahisi ni civil engineer huyo
Umeulizwa kapanda cheo au kashuka?Huyu ndio alihujumu ajira za vijana 800 wa JKt na kuwaita waasi, acha karma imtafune akapambane na majangiri mipakani huko.
Sasa alisoma nini??He is not even an engineer....
Kiherehere chake kimemponza.Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
Hongera kwake kwa uteuzi!!
ADC wa Kikwete Brigedia General M.N Mkeremy ndiye anaenda kuwa mkuu wa JKT TanzaniaNyota mbili zinabakia palepale sema siyo tena mkuu wa JKT. Either itamlazimu Rais kumpandisha cheo brigedia general ili ashike nafasi hiyo ama atalazimika kumhamisha meja jenero mwingine ili awe mkuu wa JKT. Kwanza wamelundikwa huko hovyo hovyo tuu na hakuna wanalofanya. Madam chomoa kimeja kimoja kikave pengo!
Ina maana habari ya Mabele haujaisikia.ADC wa Kikwete Brigedia General M.N Mkeremy ndiye anaenda kuwa mkuu wa JKT Tanzania
Pia anapigia saluti hata maiti ya mjane wa mkulima... saluti sio big ishu kiviileMkuu wako wa majeshi mabeyo huwa anampigia salute DC Jokate mwegelo
Ashateuliwa mwingineADC wa Kikwete Brigedia General M.N Mkeremy ndiye anaenda kuwa mkuu wa JKT Tanzania
Mbona upo kimya sana. Ameshamtea Mkeremy auADC wa Kikwete Brigedia General M.N Mkeremy ndiye anaenda kuwa mkuu wa JKT Tanzania
Nature ya watumishi wa ofisi yake pale. Toka vita vya Kagera na baadaye wimbi la ukimbizi kutokana na civil war za rwanda-urundi; watumishi wa pale wamekuwa wakipelekwa kwa tahadhari kubwa. Kwa hiyo hata maboss wao inabidi wawe na mbawa kama zao.Au Diwani alipotoka DCI hadi Ras Kagera, halafu huu Mkoa ndio mara kwa mara unatumika kwa kazi hiyo sijui kwanini
Unajua maana ya Salute? Nini DC? Na wewe unaweza kupigiwa salute ikiwa umekufa. Salute kwa yeyote aliye teuliwa na Rais. Inaonekana kuwa CDF anapiga salute, kwakweli ni kwamba anapokea salamu toka kwa DC. Kwa kuitikia kwa saluteMkuu wako wa majeshi mabeyo huwa anampigia salute DC Jokate mwegelo
Hujielewi wewe. Rais anakutana wapi na Wakuu wa Mikoa!? Kwenye kikao gani!?Siyo kweli ndugu yangu; Tamisemi inaishia kwa wakurugenzi tu, yaani watendaji wakuu wa serikali za mitaa ikihusiasha madiwani na mameya. Mkuu wa mkoa anaripoti moja kwa moja kwa rais kwa vile ni mwakilishi wa rais mkoani kwake. Soma tena katiba vizuri. Ndiyo maana matatizo yote ya kiutendaji kwa wakuu wa mikoa na wale wa wilaya hutatuliwa na rais tu, siyo Waziri mkuu wala waziri wa tamisemi.
Kupanda kwake rank ni kutokana na upandaji wa madaraja kwa Watumishi wa Umma. Zoezi ambalo linaendelea kwenye kada mbalimbali.Ibughe alikuwa kanali sasa Brigedia yule wa PCCB alikuwa Brigedia sasa ni Meja General tena last weeks
Mara nyingi kijeshi ukishapanda rank tegemea kubadilishiwa majukumu muda wowote
Wewe ndiye hujui iwapo unadhani rais kukutana na mkuu wa mkoa ni kupitia vikaoni. kwani hata huelewei kuwa mkuu wa mkoa ni mwakilishiwa rais mkoani mwake.Hujielewi wewe. Rais anakutana wapi na Wakuu wa Mikoa!? Kwenye kikao gani!?
Wewe unayejua si useme! Serikali inafanya kazi kupitia vikao. Sema sasa ni kikao gani Rais anakaa na hao wakuu wa mikoa.Wewe ndiye hujui iwapo unadhani rais kukutana na mkuu wa mkoa ni kupitia vikaoni. kwani hata huelewei kuwa mkuu wa mkoa ni mwakilishiwa rais mkoani mwake.
Serikali haifanyi kazi kwa kupitia vikao bali inatekeleza sheria. Kama sheria inataka kuwe na vikao hilo ni jambo jingine, ila sheria ya sasa inasema kuwa Mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais mkoani mwake! Full stop. Mawasiliano kati ya rais na wakuu wa mikoa yako open 24hrs.Wewe unayejua si useme! Serikali inafanya kazi kupitia vikao. Sema sasa ni kikao gani Rais anakaa na hao wakuu wa mikoa.
Hujielewi wewe. Baki na ujinga wako.Serikali haifanyi kazi kwa kupitia vikao bali inatekeleza sheria. Kama sheria inataka kuwe na vikao hilo ni jambo jingine, ila sheria ya sasa inasema kuwa Mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais mkoani mwake! Full stop. Mawasiliano kati ya rais na wakuu wa mikoa yako open 24hrs.
Siku nyingine kama ni assumption zako uwe unasema hivi " Mimi nafikiria ......"ADC wa Kikwete Brigedia General M.N Mkeremy ndiye anaenda kuwa mkuu wa JKT Tanzania
😀😀😀😀😀😀😀😀Siku nyingine kama ni assumption zako uwe unasema hivi " Mimi nafikiria ......"