Tetesi: Major Sankara in Moroni, Comoros?

Mkuu unakumbuka Kikwete aliwajibu nini akihojiwa na BBC wakati huo akiwa foreign Minister? Alisema kama Tanzania ingekuwa inasaidia waasi Rais wa Burundi wakati huo asingekuwa madarakani!

Kikwete kama moja ya intelligence genius kwenye rank moja na akina Kagame wote wakiwa generation na products za Nyerere anajua mengi kwenye hizi issue.

Hata Magufuli ingawa mnafikiri hajui lakini yapo mengi lazima atakuwa ana consult retired president. Everything is under control acheni uoga.
 
Hivi ww mpaka leo bado unaiamini serikali ya fisiem, hujui figisu zao?
 
Mgogoro wa burundi tz alikuwa ni msuluhishi tu japo alikuwa anawapendelea zaidi kina nkurunzinza

Tz kama ingekuwa na sera hizo nadhani waswahili(mai mai) wangekuwa nao wanaongoza drc
 
Mgogoro wa burundi tz alikuwa ni msuluhishi tu japo alikuwa anawapendelea zaidi kina nkurunzinza

Tz kama ingekuwa na sera hizo nadhani waswahili(mai mai) wangekuwa nao wanaongoza drc
Kabilas wako na Tanzania. Kumbuka kina kabila wana makazi yao na assets zao nyngi tu hapa Tanzania. Kabilas ni watoto wa nyumbani hilo liko wazi!
 
Huyu jamaa namkubali kinyama naomba serikali ya mjini Moron wamkinge na muuaji nyamvumba na slim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…