MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
- Thread starter
- #21
Mkuu unakumbuka Kikwete aliwajibu nini akihojiwa na BBC wakati huo akiwa foreign Minister? Alisema kama Tanzania ingekuwa inasaidia waasi Rais wa Burundi wakati huo asingekuwa madarakani!Kina Nkurunziza walipata support Huku.Walikuwa wakionekana wakiingia kambi za jeshi la Tanzania huko kg,serikali ya Burundi ililalamikia hilo, lakini Tz ya Mkapa ilikanusha. Ndio maana waasi wa Burundi hawana imani na Mkapa kama msuluhishi. Halafu rejea kina Mu7,Kabila walivyokuwa waasi na kuwa na mafungamano na Tz. Mkuu usiwaamini wanaSiasa hata kidogo!
Kikwete kama moja ya intelligence genius kwenye rank moja na akina Kagame wote wakiwa generation na products za Nyerere anajua mengi kwenye hizi issue.
Hata Magufuli ingawa mnafikiri hajui lakini yapo mengi lazima atakuwa ana consult retired president. Everything is under control acheni uoga.