Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Kwa game lovers naamini mmewahi kukutana na huu msemo kwenye gemu fulanifulani, "Surviving is winning, Franklin. Everything else is bullshit."
Yes! Kwenye quote hio nitaongeza vitu viwili na kwakweli ukitoa orodha ya hivi vitu vitatu nitakavyovitaja hapa, vingine havina maana kabisa na ninaamini mtakubaliana na mimi. Binadamu amejiweka bize na mambo mengi, ila kiuhalisia ana majukumu matatu tu.
1. Kuishi: Kama upo hai ni wajibu wako kuishi. Basi. Live to the fullest. Furahia zawadi ya uhai.
2. Kujifunza: Kuishi kuna maana sana ukiwa mtu wa kujifunza na kudadisi. Siku ukiacha kujifunza na kufunga ubongo wako nakuonea huruma sana.
3. Kupenda: Sio kwa maana ya kugegedana! La hasha, jifunze kupenda ulimwengu, watu na vilivyomo. Ukiacha kupenda unapoteza hisia. Ukipoteza hisia wewe sio binadamu tena.
Asubuhi njema wanajamvi. Niwatakie majukumu mema!