mengine sina uhakika nayo sana ila la nani ni bosi nadhani hawa wanafanya kazi katika mifumo taofauti yaani serikali kuu na serikali za mitaa, hivyo hauwezi kuwa rank pamoja.
pia unaposema mtendaji unamaanisha ni afisa mtendaji wa kata au kitu kingine, pia mjumbe unamaanisha mjumbe wa nyumba kumi au mjumbe gani? Majibu ya maswali yako yote tafuta sheria namba 7 ya 1982 ya serikali za mitaa.