Majukumu ya DC,Mtendaji na Mjumbe

Majukumu ya DC,Mtendaji na Mjumbe

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
naomba ufafanuzi Mkuu wa wilaya, Mtendaji na Mjumbe majukumu yao hasa ni yapi?
je mkuu wa willaya na Mkurugenzi wa manispaa/halmashauri nani ni bosi na mipaka ya majukumu yao ikoje.
 
mengine sina uhakika nayo sana ila la nani ni bosi nadhani hawa wanafanya kazi katika mifumo taofauti yaani serikali kuu na serikali za mitaa, hivyo hauwezi kuwa rank pamoja.
pia unaposema mtendaji unamaanisha ni afisa mtendaji wa kata au kitu kingine, pia mjumbe unamaanisha mjumbe wa nyumba kumi au mjumbe gani? Majibu ya maswali yako yote tafuta sheria namba 7 ya 1982 ya serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom