Majukumu ya JWTZ
JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
JWTZ lina majukumu yafuatayo:
a. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
b. Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wakijadili jambo na General kuhusu vita ya Iddi Amini Dada
Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
d. Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
e. Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa.
f. Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
g. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
h. Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa