Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,341
[h=2]Majukumu ya JWTZ[/h] JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
JWTZ lina majukumu yafuatayo:
JWTZ lina majukumu yafuatayo:
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa.
- Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
- Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa. source