Majukumu ya JWTZ

Majukumu ya JWTZ

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,341
[h=2]Majukumu ya JWTZ[/h] JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
JWTZ lina majukumu yafuatayo:

  1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  3. Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
  4. Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
  5. Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa.
  6. Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
  7. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
  8. Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa. source
 
Majukumu ya JWTZ

JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
JWTZ lina majukumu yafuatayo:

  1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  3. Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
  4. Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
  5. Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa.
  6. Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
  7. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
  8. Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa. source

mkuu Chimbuvu mbona hii kitu ipo JF tangu tarehe 24/06/2013.
pitia hapa.https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/475604-majukumu-ya-jwtz-tpdf.html
MOD unganisha hizi Post.
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine vipi? Si muwe mnasoma post za wenzenu kwanza! Hii habari ipo humu muda mrefu tu! Mods pse unganisha.
 
Back
Top Bottom