- Thread starter
- #21
usijiseme kama ungekuwa mwalimu kwa maana kuwa mwalimu si kushika kalamu nyekundu kuweka tiki bali ni kuwa na sifa ambazo ni uelewa wa unachofundisha.
mchango wako unaonyesha wewe kustahili kuwa mwanafunzi kwa maana hujui majukumu ya tume na huwezi kupima kama tume inafanya kazi au la.
maelezo hayo yamekutajia mifano ya makosa makubwa ya kiuchumi tunayoyafanya na kuhoji hapa tume tuliyo nayo iko wapi?
najisikia kutoa machozi pale unapojiona mjuzi na ukaishia kuangalia katiba imetaja nini basi.
lakini huwezi kutathimini kitu tulichonacho ambacho hakifanyi kazi na kujiuliza je tunachokitengeneza kitakuwa kama hiki tulicho nacho kisicho na tija.

Nina hakika huyu ndugu hawlewi labda ni mimi tu ndo naona hivi,naona mara nyingi michango yake anarudiarudia yaleyale kujaza kurasa, ningekuwa mwalimu wake angeisoma namba huyu! Anazungukazunguka tu kupoteza muda! Nimeona mchangiaji mmoja kamwambia Katiba inayopendekezwa imeweka mfumo wa Kuwa na Tume ya Mipango ambacho ndiyo chombo cha juu kabisa cha kupanga na kusimamianutekelezaji wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya taifa na Bunge litatunga sheria kukipa nguvu chombo hiki sijui hapa hajaelewa nini, napata shida na elimu yake huyu!!!!!