Majukumu yanavyofanya watu kujiweka kando na single mama

Majukumu yanavyofanya watu kujiweka kando na single mama

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Key point ni MAJUKUMU mengine ni minor issues kwa nini wadau wanajiweka mbali na single mother.

Kitabu Cha Wasifu wa Malcolm X kinaelezea baada ya baba yake kufariki mama yake alikuwa na mahusiano na mwanaume mweusi kutokea Lansing lakini mahusiano hayakudumu mwamba akasepa sababu kuu ni majukumu ya kuprovide basic needs kwa Malcolm X na ndugu zake.

Financial status za wadau wengi bado ni tia maji kiasi cha kutokidhi mahitaji ya mtu binafsi sembuse mwanamke na mtoto ambaye hana hata vina saba naye that's impossible
 
Punguza uwoga some men wanapenda watoto Sion kama Wanapata shida kulea mtoto sio wake 💯
 
Back
Top Bottom