Majukwaa matatu ya kwanza kuyafungua kila ukiingia humu

Majukwaa matatu ya kwanza kuyafungua kila ukiingia humu

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
366
Reaction score
352
Mi kila nikiingia humu naanzaga na jukwaa la nafasi za kazi ili nione kama nitabahatika kupata kazi
Halafu naenda jukwaa la matangazo madogo madogo ili nione vitu vinavyopigwa mnada ninunue kwa bei rahisi
Jukwaa la mwisho jukwaa la chitchat ili kupiga soga za hapa na pale.
 
Back
Top Bottom